Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

Nichukue nafasi hii kuwapongeza NMB tawi la NGUDU wilayani Kwimba kiukweli mnajitahidi sana kutuhudumia na kutufanya tujisikie kweli mnatuhudumia kiroho safi mnaupiga mwingi hapo [emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaha MWANZA
 
Kausha Mzee baba
 
Ila wiki iliyopita NMB tawi la Airport wamenihudumia vzr sana wamenipokea chap, wamenisikiliza shida yangu within 15 minutes shida yangu imeisha.
Ni wachangamfu sana hili tawi.
Hongera zao
 
Hata mabeberu weusi Equity wazuri sana
Tatizo la EQUITY nao ni Delaying katika process za kupata mkopo.

Utakamilisha requirements zote ila inachukua muda sana kudeposit cash kwny A/C ya mkopaji.

Kwa Kenya wapo faster sana sijui kwa hapa wanafeli wapi.
 
Daah, umewachafua vya kutosha aise..kweli wewe ni msaga sumu!
 
...kwamba branch ikifikia hiyo Limit haihudumii tena wateja wengine ama?? Fafanu Mkuu...[emoji848]
Hukunielewa, nilimanisha huduma za NMB mkononi au mawakala, wanalimit ya kumtolea mteja pesa kwa siku kama zilivyo ATM, tofauti ni kuwa kwa wakala kiasi kimeongezwa kidogo ukicompare na ATM. Hata hizo digital channel pia zin limit tofauti na ukiends branch moja kwa moja
 
Huu ni uzushi kabisa. Hakuna mteja alieanguka. Kuna mama mmoja ni teller alipata changamoto ya kiafya akaenda kupumzika hivyo wahudumu wakabaki wawili jambo lililopelekea foleni. Tuache kuzungumza vitu tusivyovifahamu wanajamvi
 
Tatizo la EQUITY nao ni Delaying katika process za kupata mkopo.

Utakamilisha requirements zote ila inachukua muda sana kudeposit cash kwny A/C ya mkopaji.

Kwa Kenya wapo faster sana sijui kwa hapa wanafeli wapi.
Equity Bank walikuwa wanatoa mikopo kwa haraka bila usumbufu, mwanzoni wakati wanaingia. Lakini baada ya kujaza watumishi wazalendo wa kibongo, mambo yamebadilika sana! Huduma duni kabisa wanatoa, sawa tu na benki zingine za kibongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…