Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

Soma vizuri historia ya mtemi Milambo.
Au Nenda sehemu moja iitwayo Ulyankulu ndiko kuna kabuli Lake pia kuna mjukuu wake kama sikosei wa pili atakupa story kamili.
Pia kabuli Lake limeandikwa kabisa kuwa huyu mwamba alikuwa ni shujaa wa Africa.
Nikaijaaliwa nitaleta picha ya kabuli lake.
Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.

Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.

Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.

Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
 
Mkuu nenda Ulyankulu kutoka Tabora ni kama km 90 hivi
"Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000"

Si kwa nia ya kuweka mashindano baina ya mashujaa wetu wa TZ sababu wote kwa nafasi na wakati wao walitetea na kupigania watu wao,

Kuna mwalimu wangu wa form two alikua na degree ya Historia kabisa( tuliambiwa hivyo) alikua anapenda kutuita walugaluga (vijana wa kiume) , baada ya kumuuliza kwanini anapenda kutuita hivyo ndio akatumbia kuwa walugaluga lilikua jina la wanajeshi wa mtemi Mirambo na kutuhadhithia story ya Mtemi Mirambo katika upande ambao sikuwahi kuskia kabla, jamaa alikua mwamba, hodari na shupavu kiongozi kiukweli nilitamani hata mtu angeitengeneza Muvi

NB: sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha kumsupport chief Mirambo coz niliwahi kwenda Kwihara kwenye eneo la kumbukumbu za kihistoria pale TBR bt sikukutana na recods zakutosha sana kumuhusu, pia wakati napita kurudi town kwa mbaali nikaonyeshwa yaliyokuwa makazi yake pia ilikua kawaida sana.
 
Historia inasema Mkwawa aliwashinda Wajerumani hadi wakaja mara ya pili kwa nguvu kubwa. Unaweza kutuambia kama kuna historia ya Mirambo kushinda jeshi la nje ya Afrika? Kama lipo au umaarufu wake ie alishinda vita zipi?
Mtu hadi kuja kukuvamia anakuwa ameshakupima na kuona kiasi fulani anaweza kukupiga. Na akiona kuna walakini anakuja kwa No Action Talks Only.

MAGUFULI4LIFE.
 
Ni kuna mnyamwezi mmoja tu....
Ameamua kulisifu kabila lake ( si vibaya, kama hutobagua wengine).

Mirambo hasimami sehemu moja na Mkwawa kamweee.....
Kama ni kodi kwenye misafara, mkwawa pia alitoza...
Kama ni ujasiri wa Ajabu, Mirambo hatoshi kwa mkwawa.
Ila tujiulize ni lini Mirambo aliwashinda wazungu ( Umesema walimuogopa, Si kweli na kamwe isingewezekana Eti mjerumani Super power wa Dunia amuogope Mirambo).

Uliwahi fikiria Resistance ya miaka nane dhidi ya wazungu ( Resistance ya mkwawa ilikuwa ni 8 yrs).

Si bure wazungu wachukue kichwa chake, wakipeleke makao makuu lazima kuna Namna.

Kwenye eneo lake ( Mirambo) kulikuwa na Chief mwingine pia ( huyo snitch) hii ni ishara kuwa alikuwa weak Sana na alipenda kujitwalia maeneo makubwa yaliyokaliwa na wachovu.
Waangalie wahehe waleo ( itikadi zao) na wanyamwezi, ndio utajua kuwa yupi alikuwa imara.
 
Historia inasema Mkwawa aliwashinda Wajerumani hadi wakaja mara ya pili kwa nguvu kubwa. Unaweza kutuambia kama kuna historia ya Mirambo kushinda jeshi la nje ya Afrika? Kama lipo au umaarufu wake ie alishinda vita zipi?
Waarabu walichakazwa sana mpaka maji wakaita mma
 
Wahehe wote wana roho ya Mkwawa.... Wanyamwezi bure kabisa...
Hahahahaaa...

Mkwawa was giant...

Wazungu hawakuamini kama yule jamaa alikuwa mwafrika wa kawaida...

Battle yake haikuwa ya kitoto....
 
Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.

Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.

Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.

Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walioneka
Mkuu unauhakika wewe si miongoni mwa wale vijana wa sultan 1500 waliokimbia ?
na kama wajumbe
 
Wahehe wote wana roho ya Mkwawa.... Wanyamwezi bure kabisa...
Hahahahaaa...

Mkwawa was giant...

Wazungu hawakuamini kama yule jamaa alikuwa mwafrika wa kawaida...

Battle yake haikuwa ya kitoto....
Battle ya miaka nane mzee! Vita ya France na Germany (Franco-Prussian war) ilidumu kwa mwaka mmoja tu! (1870-1871). Hata vita za dunia hazikudumu miaka yote hiyo ambayo Mkwawa alimhenyesha mjerumani!

Si bure walitwaa kile kichwa chake wakipeleke kwao.
 
Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.

Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.

Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.

Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOO MKWAWA ALIUAWA BAADA YA KUSHNDWA VITA KWA MILAMBO NI MUZIKI MWINGINE USIPIME NA HAKO KALA MBWA KA KIHEHE
 
Ukirudia kusoma utajua snitch wa Mirambo chief Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora.

MAGUFULI4LIFE.
Kwahiyo huyo Mirambo chamtoto tu kama alishindwa kumsambaratisha huyo Cheif mwenzake snitch wa Tabora
 
Uzi wa mihemko tu..huna tofaut na wanaovutia upande wao wale wale tu.

Kuhusu mandela na nyerere

Y wanampa recognition sana mandela ni sabab aliyofanya mandela hakuna mwanadamu ambae ameshafanya mpaka muda huu dunian

Uwe jela kwa makosa ya uhaini ugaidi kwa miaka zaid ya 20s na bado unaendeleza harakat huko hukk jela ili uendelee kukaa huko huko.yaan wanakuja kuku offer uache harakat utoke jela wew hutak unaendeleza harakat halaf siku unatoka..unakuja kuwa rais yan mwenye mamlaka...na unawasamehe waliokutesa maisha yako yote .na unatamka tusahau yanyuma na tugange yajayo

Hakuna mtu anaweza fanya hvo...

Mtoa mada kiufupi hujui kitu.
 
Sijawahi kuona Uzi mbaya Kama huu,nimesoma kwa uchungu mpaka machozi yamenitoka.
Hatujawahi kumsema vibaya milambo na Wala mkwawa hakufanya kwa sifa kuwa anamzidi milambo. Sijajua popote Kama waliwahi kufundisha kuwa mkwawa Ni zaidi ya milambo Ila huwa wanafundisha mema yake tuu. Naona umeamua tuu kumtukana MTWA MKWAVINYIKA Mtu mwenye ardhi kubwa! Kwanza mkwawa ana muheshimu Sana Mirambo na walioleana watoto
Kwa heshima mbwa wewe ilipaswa hata kufuta thread yako.
Ngoja nikupe machache kunihusu MTWA MKWAVINYIKA ambaye alifanya makubwa kabla ya kufikisha hata miaka 50
-Baada ya kifo Cha Mtwa Munyigumba uhehe iliyokuwa ndogo Sana iligawanyika katika pande mbili, upande mmoja uliangushwa na himaya hii kuwa mikononi mwa jitu, Jitu haswa! Mpana wa mwili, nguvu, uchawi na mwerevu shujaa wa Vita Tena anatajwa kuwa Askari mwenye mbio zaidi Duniani!
Ntakupa historia fupi tuh kuwa mwishoni mkwawa aliunganisha vikosi na kumuangusha huyu mwamba katika Vita kubwa mno uhehe!
  • Mtwa mkwawa alikuwa na kiwanda Cha Magobole sio Mirambo pekee Kama ulivyoaminishwa. Alikuwa na kiwanda Cha uhunzi Cha kutengeneza Vifaa mbalimbali Kama vya kilimo
  • Mkwawa alitengeneza mfumo wa biashara uliyoiingizia uhehe pesa mingi
  • Mkwawa alitawala ardhi kubwa ya Iringa, kuanzia kitonga milimani mpaka mgololo karibu na makambako na kote alizurula saa kwa miguu. Ila hakuridhika alipiga himaya ya wabena, alimpiga msangu na kuweka mpaka wake karibu na mnyakyusa huku na safari ilikuwa inaendelea.
  • Mtwa mkwawa alishuhudia mashambulio yasiyo pimika kutoka kwa mzungu na vipigo vyote hivyo aliweza kuwashinda, Kuna kipigo Cha Tosa maganga, Kuna kumbukumbu za kikatili eneo la Kitanzini... Wakati furani Gavana wa kijerumani aliniuliza huyu Mkwawa Ni Mtu, Mto au Kisiki?
  • Best of all ni kuua Askari 3000 wa kijerumani wakiongozwa na kanali wa Vita mkongwe von Zelewisky pamoja na majenerali wengine wa Vita wakati huo.
  • Kifo Cha Mkwawa kilitokana na kuchoka kwa Jeshi kwani amekuwa mtu wa Vita nyakati zote za utawala wake, kikubwa zaidi alisalitiwa na sub chiefs walio toa Siri kwa ahadi ya kupewa madaraka makubwa!
  • Mtwa mkwawa aliulika akiwa katika Hali ya ugonjwa mno! Njaa isiyo kipimo akibakiwa na wadzungwa waaminifu watatu vijana wadogo
Namkubali Mtwa Milambo Ila Hakuishi wakati wa mashambulizi makali nikimaanisha baada ya Berlin 1884--- angepigwa tuu Kama mwamba wa wakati wote Samoli Toure!
Kikubwa zaidi Je unaweza ukaamini Mtwa Mkwawa amefanya yote hayo kwa kipindi Cha si zaidi ya miaka 20 tuuu? Kuunganisha kabila, kulipa nguvu na kupambana na maadui jirani na wazungu ndani ya miaka 20 unaweza kuamini??
Nimeelekeza machache tuu kumuhusu Mkwawa ulivyoamua kumdogolesha imeniuma Sana, sijui mtu huyu angeishi nyakati nzuri Kama Milambo uhehe ingekuweje?
 
Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.

Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?

Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.

Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.

Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
Umenikumbusha alichinja warutheli aisee wakatoriki waliishi kwa hofu
 
Hata mimi nadhani Mandela ankwezwa zaidi ya Nyerere kwasababu anatokea taifa lenye nguvu ya kiuchumi Africa.

Ninachojua kuhusu Mandela ni kwamba amepigania uhuru wa taifa lake South Africa.
Nyerere amepigania uhuru wa taifa lake na kisha akaenda kuzisaidia nchi zingine kupigania uhuru wao ikiwemo hiyo South Africa.
Hapa Nyerere ndio kidume zaidi.
 
Kwa nguvu ya Mtwa Mkwawa hata JWTZ ya leo ingepata shida Sana kumdhibiti
Mimi siwezi kumfananisha Mtwa Mkwawa na Milambo, au Mtwa Mkwawa na Mtwa Isike
Ninachoweza kukwambia Ni kuwa Mtwa Mkwawa anawazidi Maraisi wote wa Tanzania ya Leo walimuondoa mapema tuuu Ila angeweza hata kufika 1930- 1940 hivi
 
Back
Top Bottom