msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Kwani magobole yanatengenezwaje?
Mkuu walikuwa wanatenteneza vipi bunduki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walikuwa wanatenteneza vipi bunduki?
Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
Naona mjukuu wa waarabu umekuja baada ya kusikia kuwa ndugu zako wafanya kazi wa sultan walinyooshwa n'a Mirambo
"Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000"
Si kwa nia ya kuweka mashindano baina ya mashujaa wetu wa TZ sababu wote kwa nafasi na wakati wao walitetea na kupigania watu wao,
Kuna mwalimu wangu wa form two alikua na degree ya Historia kabisa( tuliambiwa hivyo) alikua anapenda kutuita walugaluga (vijana wa kiume) , baada ya kumuuliza kwanini anapenda kutuita hivyo ndio akatumbia kuwa walugaluga lilikua jina la wanajeshi wa mtemi Mirambo na kutuhadhithia story ya Mtemi Mirambo katika upande ambao sikuwahi kuskia kabla, jamaa alikua mwamba, hodari na shupavu kiongozi kiukweli nilitamani hata mtu angeitengeneza Muvi
NB: sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha kumsupport chief Mirambo coz niliwahi kwenda Kwihara kwenye eneo la kumbukumbu za kihistoria pale TBR bt sikukutana na recods zakutosha sana kumuhusu, pia wakati napita kurudi town kwa mbaali nikaonyeshwa yaliyokuwa makazi yake pia ilikua kawaida sana.
Mtu hadi kuja kukuvamia anakuwa ameshakupima na kuona kiasi fulani anaweza kukupiga. Na akiona kuna walakini anakuja kwa No Action Talks Only.Historia inasema Mkwawa aliwashinda Wajerumani hadi wakaja mara ya pili kwa nguvu kubwa. Unaweza kutuambia kama kuna historia ya Mirambo kushinda jeshi la nje ya Afrika? Kama lipo au umaarufu wake ie alishinda vita zipi?
Waarabu walichakazwa sana mpaka maji wakaita mmaHistoria inasema Mkwawa aliwashinda Wajerumani hadi wakaja mara ya pili kwa nguvu kubwa. Unaweza kutuambia kama kuna historia ya Mirambo kushinda jeshi la nje ya Afrika? Kama lipo au umaarufu wake ie alishinda vita zipi?
[emoji16] [emoji23]Mtemi wa Mashoga.
Mkuu unauhakika wewe si miongoni mwa wale vijana wa sultan 1500 waliokimbia ?Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walioneka
na kama wajumbe
Battle ya miaka nane mzee! Vita ya France na Germany (Franco-Prussian war) ilidumu kwa mwaka mmoja tu! (1870-1871). Hata vita za dunia hazikudumu miaka yote hiyo ambayo Mkwawa alimhenyesha mjerumani!Wahehe wote wana roho ya Mkwawa.... Wanyamwezi bure kabisa...
Hahahahaaa...
Mkwawa was giant...
Wazungu hawakuamini kama yule jamaa alikuwa mwafrika wa kawaida...
Battle yake haikuwa ya kitoto....
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOO MKWAWA ALIUAWA BAADA YA KUSHNDWA VITA KWA MILAMBO NI MUZIKI MWINGINE USIPIME NA HAKO KALA MBWA KA KIHEHEUmekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
Kwahiyo huyo Mirambo chamtoto tu kama alishindwa kumsambaratisha huyo Cheif mwenzake snitch wa TaboraUkirudia kusoma utajua snitch wa Mirambo chief Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora.
MAGUFULI4LIFE.
Umenikumbusha alichinja warutheli aisee wakatoriki waliishi kwa hofuUmekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
4 Life!!! Unataka awe Kama Mugabe, Bokasa, Mobutu?!!!MAGUFULI4LIFE