Mtendaji: Ulitakiwa uandike "Mgombea Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni" na siyo "Mgombea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni"

Kuandamana pekee ndio itakayoleta kuheshimiana, watu lazima wataumia lakini hilo halikwepeki. Kumbuka mtu hata kama humuwezi pigana naye atakuheshimu hata akikupiga.
 
Wewe utakuwa mstari wa mbele kwenye hayo maandamano?
 
Ila Mtaa una wenyeviti wengi, wapo CCM, ACT, Vukundi na serikali.

Kwa hiyo Mgombea alitakiwa aseme anagombea uenyekiti wa nini.

Isije ikawa alimaanisha kugombea uenyekiti wa tawi la Yanga mtaani
 
Kwahiyo unampinga mtendaji?!
 
Ila Mtaa una wenyeviti wengi, wapo CCM, ACT, Vukundi na serikali.

Kwa hiyo Mgombea alitakiwa aseme anagombea uenyekiti wa nini.

Isije ikawa alimaanisha kugombea uenyekiti wa tawi la Yanga mtaani
Nimesoma nimeona Mgombea yupo sahihi kanisa. Kainisha anagombea Uenyekiti wa nini Mtaani. Labda mtoa mada kaleta taarifa isiyo sahihi.
 
Mtendaji yupo sawa.

Mgombea hajasema anagombea Uenyekiti wa Mtaa katika ngazi gani.

Maana mtaani kuna wenyeviti hata wa vijana, wamama wa Mtaa nk
Amesema anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa...... Uwe unaelewa bwashee!
 
Nimesoma nimeona Mgombea yupo sahihi kanisa. Kainisha anagombea Uenyekiti wa nini Mtaani. Labda mtoa mada kaleta taarifa isiyo sahihi.

Embu lete taarifa sahihi boss
 
Nasubiria na vyama vingine vyenye ushawishi kama Cuf, Act, Nccr, nk navyo kutangaza kujitoa ili ibakie Ccm yenyewe. Hii ndiyo njia pekee sahihi iliyobakia.
Don't expect that to happen ... hapo ndio utajua unafiki wa baadhi ya wanaojiita wapinzani
 
Nimesoma nimeona Mgombea yupo sahihi kanisa. Kainisha anagombea Uenyekiti wa nini Mtaani. Labda mtoa mada kaleta taarifa isiyo sahihi.
Bwashee usichoelewa kwenye mada ni nini?!

Anachokataa mtendaji ni kuweka neno " serikali "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…