johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Ndio hiyo wametoa......uwe unasoma na kuelewa bwashee!Daah kwa hiyo hii ni mojawapo ya sababu za kuondolewa?
Hivi Watendaji wanapomkata mgombea hawapaswi kutoa sababu?