Nimemsikiliza Jana polepole, nilimshangaa sana nafasi ya kitongoji unaweka viigezo vya hovyo sana, kwani umekuwa mtihani ule.ccm imepora mamlaka ya umma kuna makosa mengine sio ya kuondoa wagombea ni ujinga.nashauri wapinzani wote wajitoe.
Mmoja wa wagombea aliyekatwa ameelezwa na Mkuu wa Rufaa kwenye kata yake kuwa wamemuondoa kwa sababu kwenye fomu yake ameandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni”.
Mtendaji kamwambia alipaswa kuandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni”