Mtendaji: Ulitakiwa uandike "Mgombea Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni" na siyo "Mgombea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni"

Mtendaji: Ulitakiwa uandike "Mgombea Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni" na siyo "Mgombea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni"

Mnaochekelea sasa hivi chekeni sana, ila mjue zamu yenu kulia itakapofika mtalia kilio kikuu na cha uchungu mkali kuliko sisi.

Mpango wa JPM naona utafanikiwa baada ya 2020. Naihifadhi hii comment
 
Nimemsikiliza Jana polepole, nilimshangaa sana nafasi ya kitongoji unaweka viigezo vya hovyo sana, kwani umekuwa mtihani ule.ccm imepora mamlaka ya umma kuna makosa mengine sio ya kuondoa wagombea ni ujinga.nashauri wapinzani wote wajitoe.
 
Mmoja wa wagombea aliyekatwa ameelezwa na Mkuu wa Rufaa kwenye kata yake kuwa wamemuondoa kwa sababu kwenye fomu yake ameandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni”.

Mtendaji kamwambia alipaswa kuandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni”

Source: ITV habari

My take:
Nimebaki nacheka tu kwa mshangao!!!!
Tufunge vinywa, tutazame na tusubiri matokeo ya mwisho...
 
Nimemsikiliza Jana polepole, nilimshangaa sana nafasi ya kitongoji unaweka viigezo vya hovyo sana, kwani umekuwa mtihani ule.ccm imepora mamlaka ya umma kuna makosa mengine sio ya kuondoa wagombea ni ujinga.nashauri wapinzani wote wajitoe.
Wapinzani watakaobaki katika uchaguzi huu ni adui wa watanzania na hilo litawahukumu
 
Back
Top Bottom