Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaambiwa aliyeshitakiwa ni huyo mwanakijijiHuu ni unyanyasaji na udhalilishaji mkubwa kwa wananchi.
Huyu mtendaji anatakiwa kushikiliwa na vyombo husika, achukulie hatua stahiki na muajiri wake kadri ya mkataba wa ajira, na achukuliwe hatua ZA kisheria kadri ya taratibu za vyombo vya afya usalama na mahakama
Kushtakiwa inawezekana na inategemea nani aliwahi kwenye vyombo husika. Je, baada ya kushtakiwa amesikilizwa? Na hukumu imetoka?unaambiwa aliyeshitakiwa ni huyo mwanakijiji
Wapinga maendeleo lazima washughulikiweKushtakiwa inawezekana na inategemea nani aliwahi kwenye vyombo husika. Je, baada ya kushtakiwa amesikilizwa? Na hukumu imetoka?
Naunga mkono hojaHuyo mwananchi hajadundwa vizuri.
Nashauri watendaji wapewe SMG ili kuwapiga risasi wataogoma kutoa michango ya ujenzi wa madarasa.
Hii nchi ni tajiri sana, tumelalliwa sana ndugu zangu.
MITANO TENA.
niliweka ikang'olewa bila kuomba maji ya kunywa
Hahahaaaa........ Chadema mnasaidia sana kuibua vituko vya mitaani!
Aiseeee !!Tatizo linaanzia kwa viongozi wa juu. Busara ikikosekana ndio mambo kama haya yanatokea. Mwezi huu au wa 12 mwaka jana. Kuna Mkuu wa Wilaya alimweka ndani mtendaji kata kwa sababu hakuhamasisha wananchi kuchangia ujenzi wa madarasa.
Hivyo mwisho wa siku kila mmoja ana deal na anayemmudu.
Hiyo kesi mtashangaa inaisha kimya kimya.
Tena baya hilo!chafuu🤔Huyu mtendaji licha ya kumdhalilisha mwanakijiji, naye kajidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana...nusu ya kalio lote nje.!
Aibu naona mimi.!
Like father like a daughter.....mitano Tena!Huu ni unyanyasaji na udhalilishaji mkubwa kwa wananchi.
Huyu mtendaji anatakiwa kushikiliwa na vyombo husika, achukulie hatua stahiki na muajiri wake kadri ya mkataba wa ajira,
Na achukuliwe hatua za kisheria kadri ya taratibu za vyombo vya afya, usalama wa raia na mahakama
Pamoja na yote hayo wasisahau kumpima akili huyu anaweza kuwa na tatizo