Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Usishangae kawa DCTatizo Magufuli ndo anawapenda watu violent kama huyo Mtendaji, tusishangae akapandishwa cheo kuwa Afisa Tarafa
Mbona kalio lenyewe hana sasaHuyu mtendaji licha ya kumdhalilisha mwanakijiji, naye kajidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana, nusu ya kalio lote nje!
Aibu naona mimi!
Huyu ni mwananchi ni me au ni ke?Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara.
Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji.
Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la kishenzi na kulirusha mitandaoni.
View attachment 1681189
ASIMAMISHWA KAZI
DED wa Mbulu, Hudson Kamoga amesema kuwa amemsimamisha kazi mtendaji huyo ili kupisha uchunguzi kubainisha kilichopelekea mpaka mtendaji huyo kumshambulia mwanakijiji huyo.
View attachment 1681405
Mkuu kuna 'kalio' na 'tako'.Mbona kalio lenyewe hana sasa
Kweli kabisa. Tumecheza sana haiwezekani hata vyumba tunavyolala na wake zetu vijengwe kwa hisani ya wamarekani. Mitano tenaaaaa.Alaaa!Huyo mwananchi hajadundwa vizuri.
Nashauri watendaji wapewe SMG ili kuwapiga risasi wataogoma kutoa michango ya ujenzi wa madarasa.
Hii nchi ni tajiri sana, tumelalliwa sana ndugu zangu.
MITANO TENA.
Itabidi waanze kukupiga risasi wewe kwanza.Huyo mwananchi hajadundwa vizuri.
Nashauri watendaji wapewe SMG ili kuwapiga risasi wataogoma kutoa michango ya ujenzi wa madarasa.
Hii nchi ni tajiri sana, tumelalliwa sana ndugu zangu.
MITANO TENA.
How come!!??Unaambiwa aliyeshitakiwa ni huyo mwanakijiji