Mti "uliofufuka" huko Tabora ni sayansi au uchawi ?

Mti "uliofufuka" huko Tabora ni sayansi au uchawi ?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,246
[video=youtube_share;RjekhCOAqFo]http://youtu.be/RjekhCOAqFo[/video]
mti.jpg
 
Mimi najaribu kuhusianisha hii kitu na nguvu ya asili kama mizimu au uchawi hii kitu sio ya kawaida kabisa
 
Mimi najaribu kuhusianisha hii kitu na nguvu ya asili kama mizimu au uchawi hii kitu sio ya kawaida kabisa

Hauko tofauti na mimi ninavyoamini juu ya hili.
 
Maajabu hayo Wizara ya Mali asili changamkeni watalii waje hapo mpige hela kama kawaida yenu.
 
Maeneo ya Babati kuna kijiji kinaitwa Mapea tukio kama hili lilishawahi kutokea pia kijiji kingine cha Matufa nayo mkoani Manyara.
Sio tukio jipya kwamba halijawahi kutokea
 
Maeneo ya Babati kuna kijiji kinaitwa Mapea tukio kama hili lilishawahi kutokea pia kijiji kingine cha Matufa nayo mkoani Manyara.
Sio tukio jipya kwamba halijawahi kutokea

Kumbe huwa yanatokea na huwenda kukawa kuna makubwa zaidi ya haya.
 
Uchawi,hii nchi imeshalaaniwa viongozi na wananchi wake wanaamini uchawi tu.
 
[video=youtube_share;rjekhcoaqfo]http://youtu.be/rjekhcoaqfo[/video]
View attachment 194904

hii kawaida kabisa,nilishawahi kuona porini mwaka 1992 mwezi march,
kilichotokea ni mzizi uko kama elastic,sasa mti ukiangukaa kadiri muda unavyokwenda na mizizi kufyonza maji basi tartiiibu mti wainuka kawaida kabisa.
 
Nakubaliana na sayansi uliyoieleza lakini huu inaonekana ulisimama ghafla, ndani ya dakika au masaa kadhaa ulikuwa umesimama kabisa.
 
Maana ya tukio hili ni kuna mtu alidondoka aka weza kumka.

Baada ya kuamka kuna watu walionzunguka wanamzongazonga kwa matendo yao yasiyo kubalika katika jamii. Ndio hicho kinacho onyesha mti huo umebanduliwa banduliwa.

Hatari yake ni kuwa bahati mbaya ukachiwa kuendelea kubanduliwa ukidondoga lazima huyu mtu adondoke jumla.

Kumjua huyo mtu, angalia rangi ya majani ya huo mti hapo awali kabla ya kudondoka.

kujua wanao mzonga, angalia eneo la mti uliodondoka kijografia. Na pia agalia matunda au maua yatokanayo na huo mti yako vipi kimaumbile.
 
Back
Top Bottom