Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo ya Babati kuna kijiji kinaitwa Mapea tukio kama hili lilishawahi kutokea pia kijiji kingine cha Matufa nayo mkoani Manyara.
Sio tukio jipya kwamba halijawahi kutokea
[video=youtube_share;rjekhcoaqfo]http://youtu.be/rjekhcoaqfo[/video]
View attachment 194904
hii kawaida kabisa,nilishawahi kuona porini mwaka 1992 mwezi march,
kilichotokea ni mzizi uko kama elastic,sasa mti ukiangukaa kadiri muda unavyokwenda na mizizi kufyonza maji basi tartiiibu mti wainuka kawaida kabisa.
Nakubaliana na sayansi uliyoieleza lakini huu inaonekana ulisimama ghafla, ndani ya dakika au masaa kadhaa ulikuwa umesimama kabisa.
i think the Resurrection of Christ is more fascinating than this one!
JC our future, our hope!