Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume.
Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke baada ya kupeana talaka ni kandamizi na akiwa Rais ataubadilisha ndani ya siku zake za kwanza 100 kama Rais
=================
Wanaume mnaonaje uamuzi huu ni wa uboya kutumia siku zako za kwanza 100 kama Rais kwenye ishu ya talaka au ni unyama tu?