Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

.
1592575.jpg
 
Bi Hussina Amekamatwa na Watu Wanaosadikika Kuwa Ni Police, Na Yuko kituo Cha Polisi Geita.
NYUMBANI Kwake Kumejaa Polisi Njee na Ndani.
Kosa la Yeye Kushikiliwa Halijulikani.
Akili yako unaijua mwenyewe! Wakati katika title umeeleza kosa lake ila katika body unauliza kosa
 
Je polisi wamemshika aliyeteremsha bendera ya Chadema? Kwa nni aliyedai haki yake anakamatwa badala ya mwovu! Police wetu wajiangalie sana. Tutawadharau kama hawatendi haki!
 
Kosa ni kutetea bendera za cdm zisitelemshwe na wahuni wa uvccm?
Bi Hussina Amekamatwa na Watu Wanaosadikika Kuwa Ni Police, Na Yuko kituo Cha Polisi Geita.
NYUMBANI Kwake Kumejaa Polisi Njee na Ndani.
Kosa la Yeye Kushikiliwa Halijulikani.
 
Naona salaam zimemfikia yule kamanda mmoja pale kwa Gambo anaye tembea na ilani ya ccm
CCM muda si mrefu Polisi watawachoka. Jana Jiwe aliwashushua kwa kufanya kazi ambazo yeye hajawatuma.
 
Back
Top Bottom