Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Akili mbovu kabisa.

Tueleze unayemjua huyo mama, kama wewe unamfahamu ni mhuni mtaani.

Yule mama (mke wake Slaa =Dr Mhogo) hukuona akivuja damu usoni, au ulikuwa hujazaliwa?

Sasa hapa unamlalamikia nani, hao waliokwenda nyumbani kwa mtu na kushusha bendera, au huyo anayepinga kuonewa?

Inasikitisha sana kuwa na watu wapumbavu kama nyinyi, lakini tufanyeje, ni mapenzi ya Mungu kuwepo kwenu. Tutawavumilia hivyo hivyo huku tukipambana.
UKishasema ni mapenzi ya Mungu, ni ishara ya mapungufu. Binadamu anatatua shida zake! Mungu anaingiaje kwenye shida zako?
 
UKishasema ni mapenzi ya Mungu, ni ishara ya mapungufu. Binadamu anatatua shida zake! Mungu anaingiaje kwenye shida zako?
Hili tunaweza kulijadili kwa mapana yake, lakini si hapa.
Hata hivyo nikupongeze kwa kuonyesha akili kidogo kuliko hapo mwanzo.

Wewe unafundishika.
 
CCM muda si mrefu Polisi watawachoka. Jana Jiwe aliwashushua kwa kufanya kazi ambazo yeye hajawatuma.
Ingawa kisanii zaidi,anawatuma halafu anawageuka.Wasipojiongeza jela itawahusu wakati muafaka ukiwadia.
 
Back
Top Bottom