Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Wakati mwingine mnaisingizia tu ccm
Hilo ndo linanikatisha tamaa ninapowapa support hawa watu. Ghafla unawaona hawako tayari kumkosoa hata mtu anayefahamika ni muhuni mtaani, akijifanya CHADEMA. Eti kuwa CHADEMA ni kutosikia, kutoogopa, nk. No! Mbona hatukuwahi kuona Dr Slaa akiburuzwa kiasi hiki?
 
Je polisi wamemshika aliyeteremsha bendera ya Chadema? Kwa nni aliyedai haki yake anakamatwa badala ya mwovu! Police wetu wajiangalie sana. Tutawadharau kama hawatendi haki!
Kazi ya polisi ni kuilinda ccm kwa maana ndio inayowalipa mishahara.Wakienda kinyume ni lazima wafe njaa kwa kufukuzwa kazi
 
Husna Said ameachiwa huru na jeshi la polisi na sasa anaendelea na kazi yake iliyotukuka ya kupandisha bendera za chadema Jimbo la CHATO, Husna kila sehemu alipomaliza kupandisha bendera ameacha onyo kali kwamba mtu atakayethubutu kushusha bendera hiyo watagawana majengo ya serikali.
 
Jamaa hata kwao awamtaki
knee-on-neck.jpeg

CCM tuachieni wananchi tupumue!​
 
Hilo ndo linanikatisha tamaa ninapowapa support hawa watu. Ghafla unawaona hawako tayari kumkosoa hata mtu anayefahamika ni muhuni mtaani, akijifanya CHADEMA. Eti kuwa CHADEMA ni kutosikia, kutoogopa, nk. No! Mbona hatukuwahi kuona Dr Slaa akiburuzwa kiasi hiki?
Akili mbovu kabisa.

Tueleze unayemjua huyo mama, kama wewe unamfahamu ni mhuni mtaani.

Yule mama (mke wake Slaa =Dr Mhogo) hukuona akivuja damu usoni, au ulikuwa hujazaliwa?

Sasa hapa unamlalamikia nani, hao waliokwenda nyumbani kwa mtu na kushusha bendera, au huyo anayepinga kuonewa?

Inasikitisha sana kuwa na watu wapumbavu kama nyinyi, lakini tufanyeje, ni mapenzi ya Mungu kuwepo kwenu. Tutawavumilia hivyo hivyo huku tukipambana.
 
Back
Top Bottom