TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Naelewa unavyoteseka kwa visa vya hawa viumbe lakini kidogo punguza speed.

Binadamu sio jiwe wengi wametoka huko CCM wakaingia vyama pinzani , sasa ukitoa dua kali kama hizi , na wakifa utapata wapi watu kutoka CCM wa kuja kukupigia kura ??
Acha kunipangia how to feel mzee

Wewe ume-feel huruma kwake,rightfully so...

Na mimi sija-feel huruma yeyote kwake,rightfully so...

Punguza kupangia watu how to feel,punguza udikteta,kaa nao,I dont want ushauri wako!

Unaji ekti wewe ni universal moral giver,unaeleza how people have to feel on various things....

Fvck whatchu say,keep it for yourself....leave me be!
 
Nahisi uko nyuma haupo salama, maana sio kwa ujinga huo. Umeelezwa kwa ufupi, umejibu kwa marefu bila maana yo yote. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…