Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mimi nyuma sipo salama wewe mbele ndio salama...Nahisi uko nyuma haupo salama, maana sio kwa ujinga huo. Umeelezwa kwa ufupi, umejibu kwa marefu bila maana yo yote. Pole sana.
Mkuu ,Kisanga Dr wa Figo Muhimbili ana mtoto mkubwa hivi?
Ukimwi.Aliumwa nini?
Umeambiwa ajali unakazana na Covid19, kama rafiki yako amepoteza watu kipi unahisi wewe upo salama?
Watu wanaomboleza unaleta mambo ya ajabu.
Kumbe hata wewe huwa hausomi kwa makini,Aliumwa nini?
Aliumwa nini?
Unapitisha matusi kwenye sentensi hiyo hiyo unayomuomba mshikaji wako Mungu eti anisamehe,hii ndio oxymoron yaani!Wewe Ni mchawi mkubwa MUNGU akusamehe
Atakuwa hakujua terms and conditions....
Bila ndumba msimu huu unakata moto fasta...