TANZIA Mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini, Dkt. Donald Kisanga afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Dodoma

Duuh, gone too soon....Pumziko La Amani Apate ndugu yetu huyu.
 
Mkazi wa Sengerema kachachamaa hatari, na english ya st. marys ndo inampa kiburi wakati watu humu ndani wanaongea mpaka Kichina!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio Magufuli amewagomea,hata Daraja hawapandishwi.
 
Mkazi wa Sengerema kachachamaa hatari, na english ya st. marys ndo inampa kiburi wakati watu humu ndani wanaongea mpaka Kichina!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kingereza kimekuuma sana?

Zungumza Kichina,Kisukuma,Kichagga,etc thats entirely on you...its not a decision for me to make!

Umepiga ramli ukaona mimi ni mkazi wa Sengerema?Kubashiri waachie waganga mzee!

Its funny upo humu kupangia watu lugha za kuongea wakati thats not decision for you to make!

Huu ungese,stop this shit showing my nigga!
 
Poleni sana Familia, Dr. Donald Kisanga Umemaliza mwendo, upumzike kwa amani


Katika tasnia ya muziki wa injili na ule wa secular, Marehemu Donald Kisanga alihamashisha mengi kwa vitendo.

Dr. Don Kisanga | Ndiyo | Official Video

 
Kwani umeisha toka senge rema ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watu wapumbavu kama wewe wanafsiri ukiachaa wa kuharisha kila muda na kila wakati ndo uhuru. My stupid und uncivilized actor mana nikisema politician ntakuwa nimekosea sana. Uhuru wako una mipaka, ndo mana hata ukiamua kunya kwenye kaptura yako. Watu wataingilia na kusema umejinyea. Ni tendo lile lile ambalo mstaarabu anafanya chooni au mahali pake. Hivi mtu kama wewe kama ndo una Chama na wanakuita mwanachama hiyo mbingu gani utakayoikaribia? By the way CCM Ni chama tu kama hicho chama chako. Watu Wake wanabaki wao na unafsi wao. Waovu Ni wanadamu na wewe ndo umedhihirisha hapa kwa kukosa utu na ustaarabu. Nenda Rwanda. Tz. Haikufai. Kama kuna Wenzako watakutetea Basi jua ukweli hautegemei wengi wa watu. PUMBAVU we heshimu marehemu. Tena Dr. ambaye pengine alishatibu mpaka nerves za wazazi wako. Mana kwa Mtoto kama wewe unahisi wazazi watakuwaje. Tukifuata Logik yako kuwa maccm Ni maccm. Umenibore sana Jinga wewe.
 
Huu mchezo wa CCM kuvaa magwanda ndio kusema CHADEMA tumewapiku hadi kuamua kushonesha na wao?
Toa pole kamanda wangu. Mbona Lissu amemwachia Mungu ashughulike na watesi wake. Na kasema asingependa awaye yoyote apate mateso makali aliyotendewa yeye hapo ni wazi kawaombea msamaha watesi wake kwa Mungu. Tuwe na ubinadamu wa Lissu. R.I.P Dr.
 
Ha ha ha haha [emoji23][emoji23]
 
Toa pole kamanda wangu. Mbona Lissu amemwachia Mungu ashughulike na watesi wake. Na kasema asingependa awaye yoyote apate mateso makali aliyotendewa yeye hapo ni wazi kawaombea msamaha watesi wake kwa Mungu. Tuwe na ubinadamu wa Lissu. R.I.P Dr.
Nitatoa pole baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…