Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuneng'eneka tu, nakulia timing we boy.aPeleka huko uj*ng* wako. Nani kakwambia Dr Kisanga Nephrologist ni marehemu? Siyo upu*bav* huo? Tusipotezeane muda kwa mtindio wako.
Mkazi wa Sengerema kachachamaa hatari, na english ya st. marys ndo inampa kiburi wakati watu humu ndani wanaongea mpaka Kichina!!Acha kunipangia how to feel mzee
Wewe ume-feel huruma kwake,rightfully so...
Na mimi sija-feel huruma yeyote kwake,rightfully so...
Punguza kupangia watu how to feel,punguza udikteta,kaa nao,I dont want ushauri wako!
Unaji ekti wewe ni universal moral giver,unaeleza how people have to feel on various things....
Fvck whatchu say,keep it for yourself....leave me be!
Na ndio Magufuli amewagomea,hata Daraja hawapandishwi.Acha upu*bav*. Mimi naongelea Kisanga ambaye ni marehemu, tena nimerudia neno marehemu x4 kwenye huu uzi. Wewe unamsema Kisanga ambaye yuko hai. Siyo uj*ng* huo? Ama unataka kuonnyesha watu kuwa unamfahamu daktari Muhimbili? Mimi nimesema marehemu Kisanga bingwa wa mkojo, wewe unaongelea bingwa wa figo! Wapi na wapi? Haki ya mama kazi ya kufundisha kumbe ni ngumu hivi. Walimu waongezewe mshahara tafadhali. Ukiwa na wanafunzi 3 kama wewe darasani, utajiuzuru ualimu bila kupenda.
ndio nilikoanzia , hilo swali langu ni la kimkakatikamanda anzia mwanzo wa uzi
Kingereza kimekuuma sana?Mkazi wa Sengerema kachachamaa hatari, na english ya st. marys ndo inampa kiburi wakati watu humu ndani wanaongea mpaka Kichina!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rip,unamaanisha Nini?Hizi nyakati usipokuwa imara unajeuka kondoo
kabisaIna tafsiri pana kiroho
Jr[emoji769]
Kwani umeisha toka senge rema ?Kingereza kimekuuma sana?
Zungumza Kichina,Kisukuma,Kichagga,etc thats entirely on you...its not a decision for me to make!
Umepiga ramli ukaona mimi ni mkazi wa Sengerema?Kubashiri waachie waganga mzee!
Its funny upo humu kupangia watu lugha za kuongea wakati thats not decision for you to make!
Huu ungese,stop this shit showing my nigga!
Never heard of the place.....
Ok basi wasalimie huko kwa mchambawimaNever heard of the place.....
Lini nilienda huko,labda utuambie!
Maana naona unanisemea vitu sijakutuma wakati naweza jisemea mwenyewe!
Got no recollection of that shit you spewing
Na hii ndio conversation unayoona ni sawa upoteze bando na time ku-type na ku-click "post"?
Acha kunipangia how to feel mzee
Wewe ume-feel huruma kwake,rightfully so...
Na mimi sija-feel huruma yeyote kwake,rightfully so...
Punguza kupangia watu how to feel,punguza udikteta,kaa nao,I dont want ushauri wako!
Unaji ekti wewe ni universal moral giver,unaeleza how people have to feel on various things....
Fvck whatchu say,keep it for yourself....leave me be!
Toa pole kamanda wangu. Mbona Lissu amemwachia Mungu ashughulike na watesi wake. Na kasema asingependa awaye yoyote apate mateso makali aliyotendewa yeye hapo ni wazi kawaombea msamaha watesi wake kwa Mungu. Tuwe na ubinadamu wa Lissu. R.I.P Dr.Huu mchezo wa CCM kuvaa magwanda ndio kusema CHADEMA tumewapiku hadi kuamua kushonesha na wao?
Ha ha ha haha [emoji23][emoji23]Sasa wewe Bwana Mr Chopa,una wivu na mimi kuongea Kingereza au mimi kuongea Kiswahili?
Wivu mpaka wa lugha?
Punguza upumbavu wewe!
Na wewe kasome English uwe polished ili uache hizi sentensi za wivu wivu....!
Shida yako na mimi hasa ni lugha au kuna jingine maana na wewe kuna mahali kadhaa wa kadhaa umeweka Kingereza na Kiswahili,sasa tuseme wewe upo sawa na mimi sipo sawa?
Wewe kuelewa au kutoelewa ni entirely on you mimi sina uwezo wa kuingilia anything in your head!
Your head belongs to you not me!
One more thing,punguza wivu wa kisenge..kuna na wivu wa mambo serious wewe!
Lugha?Kichaa wewe
Nitatoa pole baadae.Toa pole kamanda wangu. Mbona Lissu amemwachia Mungu ashughulike na watesi wake. Na kasema asingependa awaye yoyote apate mateso makali aliyotendewa yeye hapo ni wazi kawaombea msamaha watesi wake kwa Mungu. Tuwe na ubinadamu wa Lissu. R.I.P Dr.