Dah ila hii JF ni ya kuwa makini sana aisee.Promo za kijinga tu. Ukiona
Hauongelewi unajianzishia mada mwenyewe😂😂😂😂😂
Dah ila hii JF ni ya kuwa makini sana aisee.Promo za kijinga tu. Ukiona
Hauongelewi unajianzishia mada mwenyewe😂😂😂😂😂
Hahaha Yani huyu KIAZI ni goigoi kinouma yaniPromo za kijinga tu. Ukiona
Hauongelewi unajianzishia mada mwenyewe😂😂😂😂😂
Umaarufu unatafutwa kwa nguvu sana. Jitu linajipigia promo kijanja linaona likijisifia tutalishtukia linajidai kama linajikandia.Dah ila hii JF ni ya kuwa makini sana aisee.
😂😂😂😂😂😂😂Hahaha Yani huyu KIAZI ni goigoi kinouma yani
Mkuu unayumbayumba sana. Hivi siku zile ulisema kuwa unataka kugombea ubunge, lakini hukutuambia ni kwa chama gani. Leo kusema tatizo la nchi siyo ccm wakati mia 60 hii wapo madarakani, na nchi imebagazwa, bandari wamepewa dp, tazara amepewa mchina 30 yrs, demokrasia haipo, nk nk, aiseee! Hutaeleweka mkuu.Duuh! Utakuwa umemfananisha Mtibeli.
Ukishasema mtibeli umeshataja HAKI, UKWELI, UPENDO NA AKILI.
Nikiwa kama Mtibeli miaka yote nipo upande wa Haki.
Sitaki mtu au kiumbe chochote kionewe hata kama kiumbe hicho ni shetani.
Haki ni kwa wote sio kwa Wema tuu bali hata wabaya.
Anyway! Embu nipe hoja zako nione huenda na discourage wapiganaji wa haki pasipo kujua. Nipe hoja
inabadilishwa jina kila siku. Sasa hivi inaitwa Knock life . Anabadili majina ili zisahaulike aje nazo upya kama hivi🤣Hiv Ile I'd ya manfrid Ile potelea wap
Nadhani baada ya Kafulila huyu Hayaland ndio anafuatia kwa kuwa na ID lukuki humu.inabadilishwa jina kila siku. Sasa hivi inaitwa Knock life . Anabadili majina ili zisahaulike aje nazo upya kama hivi🤣
Dr mapaka , bangi kweli.inabadilishwa jina kila siku. Sasa hivi inaitwa Knock life . Anabadili majina ili zisahaulike aje nazo upya kama hivi🤣
Na kujificha hajui. Anayoyaongelea kwenye ID hii anayepeleka kwenye kila ID.Nadhani huyu Kafulila huyu Hayaland ndio anafuatia kwa kuwa na ID lukuki humu.
🤣🤣🤣nachoka mimi.Dr mapaka , bangi kweli.
Na zile I'd zake alizokua ana uzia ubuyu wa rangi rangi nazo zipo active?Na kujificha hajui. Anayoyaongelea kwenye ID hii anayepeleka kwenye kila ID.
Hivi nilikuwa na siku nyingi sijapita huku ila zitakuwa zipo kila mwezi kazi kuzibadilisha majina tu.Na zile I'd zake alizokua ana uzia ubuyu wa rangi rangi nazo zipo active?
WEWE UNAWEZA KUENDELEZA HARAKATI NA WAO WAMECHAGUA UPANDE WANAOUONA SAHIHI. KWANINI IWE DEMOKRASIA YA KWENU TU ? KWANINI MKIONA MTU ANAONGEA NJE YA KILE MKITAKACHO MNAOMUONA MTU KAMA MSALITI ? HIVI WAKE ZENU NYUMBANI HUWA MNAISHI NAO KIVIPI, MANAKE YAONEKANA NI WATU WENYE MISUKOSUKO YA KIHISIA . HII NI DEMOKRASIA BABUHawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Uwe unapita pita Dr mapaka kupumua ni dhambi kubwaHivi nilikuwa na siku nyingi sijapita huku ila zitakuwa zipo kila mwezi kazi kuzibadilisha majina tu.
Sasa hivi nimebanana sana ila january nitakuwa na muda jf.Uwe unapita pita Dr mapaka kupumua ni dhambi kubwa
Yani Sasa hivi Kawa wa hovyo kama kapigwa kipapai vile , na Kuna viazi atakua anawachota na zile I'd zake bila wao kujuaSasa hivi nimebanana sana ila january nitakuwa na muda jf.
Ila mimi nimependa sasa hivi anaishi uhalisia wake sio ile kipindi anajidai na li ID lake la heshima huku pembeni ndio anaonesha uhalisia wake. Sasa hivi uhalisia ameuweka wazi🤣🤣🤣 hamna ku fake tena.
Huo ndio uhalisia wake sasa. Kule alikuwa anaigiza tu🤣Yani Sasa hivi Kawa wa hovyo kama kapigwa kipapai vile , na Kuna viazi atakua anawachota na zile I'd zake bila wao kujua
Na hii I'd ya Dr mapaka ndiyo alikua anajifanyisha nayo kuwa ana busara , unajua Alisha nichota nikamwona mtu wa maana sana 🤔Huo ndio uhalisia wake sasa. Kule alikuwa anaigiza tu🤣
Hahaha kwa hiyo sasa hiv ndio linaishi kama manfrid 😅😅 au octoba atatiki? Au mama katufikia?Huo ndio uhalisia wake sasa. Kule alikuwa anaigiza tu🤣