NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Apana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.tatizo ni kwenye nguvu moja, imeisha imebaki nguvuless
Boko tenaaaaBora boko aingie
Umeona akili zako za kimchongo?umetafunishwa miwa mingapi?Hiyo furaha yako ni ya mchongo tu subiri uone ni kwa namna gani Simba hutafuna miwa.
SIMBA NGUVU MOJA
Si lazima utukaneTutaheshiamiana mwaka huu QΓΉma nina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kufunga goal
π€£π€£π€£π€£Halafu mmefunga magoli mangapi?
Nguvu ipo mtani.Nguvu 0 hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ule msemo unao sema aliye juu mngojee chini umesahaulika tangu ili poanza koronaApana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.
Simba inatimu nzuri sana tena,ni kawaida ya Simba kusuasua mzunguko wa kwanza mwisho wa siku anabeba ubingwa.
Ligi bado mbichi sana.
Wapemba mnamisemo nyinyi.Ule msemo unao sema aliye juu mngojee chini umesahaulika tangu ili poanza korona
Kwa wasuifatilia ligi awajui ili jambo.Ligi Bado Mbichi, Mzunguko Wa pili Utaamua
Siyo kila homa ni malaria muone daktari kwa vipimo zaidi.Ligi Bado Mbichi, Mzunguko Wa pili Utaamua
joseph1989 Mimi ni mshabiki wa simba ila kuna wakati ushabiki naweka pembeni Huu uwanja unaafadhali kunasehemu unaweza kupiga pass kuliko uwanja wa sokoine aliyocheza leo Tanzania Prison vs Azam ambao hata kupiga kupiga pass huwezi kuna maeneo hata nyasi hazipo kiufupi ufai hata kuchezea pamoja na hizo changamoto lakini Azam kashinda goal 4Kabisa hata mimi naona mtakavyo shinda Manungu
Leo kocha wao kawaanzishia Mk14 na Mugalu, lakini wapi!! Morrison, Chama, Sakho! Waapi!! π¬ππ Mwisho wa siku lawama zote zimeenda Manungu Complex!!Simba hakuna team
Wacha wewe πππ uwanja wa Manungu kabisaaa!! Umpige mwenyeji 3 - 0!!!Hii gemu tunashinda Simba mapema Sana....Simba 3-0 Mtibwa
ahahahaLeo kocha wao kawaanzishia Mk14 na Mugalu, lakini wapi!! Morrison, Chama, Sakho! Waapi!! π¬ππ Mwisho wa siku lawama zote zimeenda Manungu Complex!!
Eti wamegoma mpaka kuongea na wadhamini (Azam Media) kwa ajili ya kutoa tathmini ya mchezo! π¬π¬π¬
Si tulikubaliana ametokea Madrid ??Hakika.
uyu kocha amna kitu.
Tumepigwa nondo ya kichwa kwa uyu kocha.