Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Apana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.
Simba inatimu nzuri sana tena,ni kawaida ya Simba kusuasua mzunguko wa kwanza mwisho wa siku anabeba ubingwa.
Ligi bado mbichi sana.
Sahihi.
 
Scars na OKW BOBAN SUNZU habari ziwafikie
 
Hakuna haja ya kupambabana na TFF kijinga namna hii.Hao ni mtu mmoja mmoja,kuna mbinu nyingi sana za kuwabomoa mmoja baada ya mwingine.
Ili wapambane na Simba,wajihakikishe ni wasafi mno,maana tumeanza kuchukua madodoso kidogo kidogo,watanaswa na tundu bovu
Mikakati ya kupuuzi inauwa soka na ushindani wa kweli TFF popote mlipo jueni Mungu ni wetu sote
 
siku ya kufa nyani miti yote inateleza. Simba bora mkabidhi kombe laa nbc pl TFF mapema. Kule kagera pia hamtoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…