Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Apana mkuu nguvu ipo kubwa sana,kufungwa au kudraw ni sehemu ya soka.
Simba inatimu nzuri sana tena,ni kawaida ya Simba kusuasua mzunguko wa kwanza mwisho wa siku anabeba ubingwa.
Ligi bado mbichi sana.
Sahihi.
 
joseph1989 Mimi ni mshabiki wa simba ila kuna wakati ushabiki naweka pembeni Huu uwanja unaafadhali kunasehemu unaweza kupiga pass kuliko uwanja wa sokoine aliyocheza leo Tanzania Prison vs Azam ambao hata kupiga kupiga pass huwezi kuna maeneo hata nyasi hazipo kiufupi ufai hata kuchezea pamoja na hizo changamoto lakini Azam kashinda goal 4
Scars na OKW BOBAN SUNZU habari ziwafikie
 
Binadamu tumeumbwa kusahau,sasa tukumbushane kidogo
 

Attachments

  • 20220122_185253.jpg
    20220122_185253.jpg
    45 KB · Views: 14
Hakuna haja ya kupambabana na TFF kijinga namna hii.Hao ni mtu mmoja mmoja,kuna mbinu nyingi sana za kuwabomoa mmoja baada ya mwingine.
Ili wapambane na Simba,wajihakikishe ni wasafi mno,maana tumeanza kuchukua madodoso kidogo kidogo,watanaswa na tundu bovu
Mikakati ya kupuuzi inauwa soka na ushindani wa kweli TFF popote mlipo jueni Mungu ni wetu sote
 
Sijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi

NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika dimba la Manungu kucheza na Mtibwa Sugar, huku Kila upande ukitamba kuondoka na alama tatu.

Je ni Mtilwa Sugar au Simba SC kuondoka na alama tatu? majibu utayapata JF.

HEAD TO HEAD

Tokea mwaka 2016 Mtibwa sugar na simba wameshakutana mara 10, simba akishinda michezo 7 na sare 3, mtibwa hajawahi kumfunga Simba Sc tokea Mwaka 2016

UPDATE.

Katika ligi kuu Simba yupo nafasi ya pili akiwa na jumla ya alama 24 baada ya kucheza michezo 11, nyuma ya vinara wa ligi Young africans ambao wana alama 32 baada ya kucheza michezo 12.

Simba amecheza michezo 11, amepoteza mchezo mmoja, ametoa sare michezo 3 na ameshinda michezo 7

Mtibwa sugar Yupo nafasi ya 14, nafasi ya 3 toka mwisho akiwa amecheza michezo 12

UPDATE

Hali ya uwanja ilivyo kwa sasa ambako mechi itapigwa

Hali ilivyo katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro hadi saa 6 mchana.

Uwanja huo unategemewa kutumika leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar FC dhidi ya Simba SC, saaa 10:00 jioni.
View attachment 2091644


UPDATE

Hadi sasa saa 9 na dakika 05 vikosi bado havijatoka

KIKOSI CHA SIMBA

View attachment 2091704

KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR

View attachment 2091741

-Mpira umekwisha kuanza hapa Uwanja wa Manungu Morogoro.

- 3' Inonga anafanyiwa madhambi

-5' Mtibwa wamecha faulo 3 dhidi ya moja kwa simba

- 09' Kihimbwa anafanyiwa madhambi

-10' Ndemla anafanya shambulizi lakini Manula anaokoa vizuri

-12' Abraham anafanyiwa madhambi na Yuko chini akigangwa

-14' Kagere anacheza madhambi

-20' Mtibwa Sugar 0 Simba sc 0

-21' Mtibwa wanapata kona ya kwanza katika mchezo huu

-24' Mtibwa sugar wanapata kona

-27' Mtibwa Sugar offside

-30' Mtibwa Sugar 0 Simba Sc 0

-
31' Kado golokipa wa Mtibwa anakoa hapa na simba wanapata kona ya kwanza

-34' Mtibwa wanapata kona

-35' Mtibwa wanapiga kona ya 4

-40' Mtibwa Sugar 0 Simba Sc 0

- 41' Kadi ya njano anapewa George

-44' H. Dilunga anapiga shoot linaenda nje ya lango

- 45" Bila Bila

- Dakika 3 za Nyongeza kipindi cha kwanza

-Kipindi Cha kwanza kimemalizika Mtibwa Sugar 0 Simba sc 0

KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

Mtibwa Sugar 0 Simba Sc 0

- Chama ameingia akichukua nafasi ya HD

- Morrison ameingia akicukua nafasi ya Mugalu

- 50' BILA BILA


-51' Simba wanapata kona

-53' Mtibwa Sugar wanapata Kona

-60' Simba wanapata free kick

-61' kipa anaokoa free kick ya chama na simba wanapata kona

-62' Mtibwa wanafanyiwa madhambi

-67' Gadiel Michael anafanyiwa madhambi na Banda ndani ya 18

-70' Simba 0 Mtibwa 0

-71' Mohamed Hussein Anaingia Kuchukua nafasi ya Gadiel Michael

-75' bila bila

-76' simba wanapata Kona 2

-77' Majogoro anaingia kwa upande wa mtibwa

-77' Chota george anaingia pia kwa upande wa mtibwa

-80' Bila Bila

-80 Golikipa wa Mtibwa anapata Kadi ya Njano

-83' anatoka mzamiru Yassin Anaingia Bocco, Kenedy Juma Anaingia kuchukua nafasi ya Inonga

-84' Mtibwa wanafanya mabadiliko anatoka kihimbwa anaingia kiziwa


FT 0 0
siku ya kufa nyani miti yote inateleza. Simba bora mkabidhi kombe laa nbc pl TFF mapema. Kule kagera pia hamtoki
 
Back
Top Bottom