machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Ipi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huuhiyo ni kwa ajili ya Simba tu,baada ya leo watarudisha Gairo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi ilikuwa lengo la kutumia uwanja huuhiyo ni kwa ajili ya Simba tu,baada ya leo watarudisha Gairo
Ndio mkose penalty sasa?Wanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
Acha kulialia kijana..cheza mpira.Wanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
[emoji23][emoji23][emoji23] majaruba ya mpungaHuu ni uwanja au majaruba ya mpunga
Pablo afungashiwe virago fasta kabla hajaifanya simba icheze kama gwambina au ihefuSijajua Kwanini @Moderators Wameondoa Uzi wa Mwanzo, muwe munaweka na sababu za kuondoa Uzi
NBC Premier League leo Jumamosi. Baada ya kupita miaka zaidi ya 20, leo Mnyama Simba SC anarudi katika dimba la Manungu kucheza na Mtibwa Sugar, huku Kila upande ukitamba kuondoka na alama tatu.
Je ni Mtilwa Sugar au Simba SC kuondoka na alama tatu? majibu utayapata JF.
HEAD TO HEAD
Tokea mwaka 2016 Mtibwa sugar na simba wameshakutana mara 10, simba akishinda michezo 7 na sare 3, mtibwa hajawahi kumfunga Simba Sc tokea Mwaka 2016
UPDATE.
Katika ligi kuu Simba yupo nafasi ya pili akiwa na jumla ya alama 24 baada ya kucheza michezo 11, nyuma ya vinara wa ligi Young africans ambao wana alama 32 baada ya kucheza michezo 12.
Simba amecheza michezo 11, amepoteza mchezo mmoja, ametoa sare michezo 3 na ameshinda michezo 7
Mtibwa sugar Yupo nafasi ya 14, nafasi ya 3 toka mwisho akiwa amecheza michezo 12
UPDATE
Hali ya uwanja ilivyo kwa sasa ambako mechi itapigwa
Hali ilivyo katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro hadi saa 6 mchana.
Uwanja huo unategemewa kutumika leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar FC dhidi ya Simba SC, saaa 10:00 jioni.
View attachment 2091644
UPDATE
Hadi sasa saa 9 na dakika 05 vikosi bado havijatoka
KIKOSI CHA SIMBA
View attachment 2091704
KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR
View attachment 2091741
-Mpira umekwisha kuanza hapa Uwanja wa Manungu Morogoro.
- 3' Inonga anafanyiwa madhambi
-5' Mtibwa wamecha faulo 3 dhidi ya moja kwa simba
- 09' Kihimbwa anafanyiwa madhambi
-10' Ndemla anafanya shambulizi lakini Manula anaokoa vizuri
-12' Abraham anafanyiwa madhambi na Yuko chini akigangwa
-14' Kagere anacheza madhambi
-20' Mtibwa Sugar 0 Simba sc 0
-21' Mtibwa wanapata kona ya kwanza katika mchezo huu
-24' Mtibwa sugar wanapata kona
-27' Mtibwa Sugar offside
-30' Mtibwa Sugar 0 Simba Sc 0
- 31' Kado golokipa wa Mtibwa anakoa hapa na simba wanapata kona ya kwanza
-34' Mtibwa wanapata kona
-35' Mtibwa wanapiga kona ya 4
-40' Mtibwa Sugar 0 Simba Sc 0
- 41' Kadi ya njano anapewa George
-44' H. Dilunga anapiga shoot linaenda nje ya lango
- 45" Bila Bila
- Dakika 3 za Nyongeza kipindi cha kwanza
-Kipindi Cha kwanza kimemalizika Mtibwa Sugar 0 Simba sc 0
Acheni uswahili, timu ngapi zimecheza hapo Manungu na hazijalalamika nyie ni nani muonekane mnaumuhimu sana kuliko timu zingine?Wanafanya hujuma za wazi wazi kabisa
Hii TFF kwasababu simba ilikataa mkataba wa mchongo aliosaini na GSM basi TFF imekuwa ikimuandama simba
Hakika.Pablo afungashiwe virago fasta kabla hajaifanya simba icheze kama gwambina au ihefu
Sio tu kucheza Manungu, hoja ni kwamba hizo timu ziliukuta uwanja katika hali ganiAcheni uswahili, timu ngapi zimecheza hapo Manungu na hazijalalamika nyie ni nani muonekane mnaumuhimu sana kuliko timu zingine?
Swala la timu zingine kucheza kwenye kiwanja kibovu sio sababu ya simba wapenda soka kulizungumzia.Hii ni aibu yakujitakia.Acheni uswahili, timu ngapi zimecheza hapo Manungu na hazijalalamika nyie ni nani muonekane mnaumuhimu sana kuliko timu zingine?