Cha muhimu hawa wasanii wetu wawe makini katika mahojiano yao maana hii hali haileti picha nzuri na haipendeziNadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
Kiukweli amezingua sana na sikutarajia yeye angeongea maneno yaleWatu wana mahaba yaliyopitiliza kwa Ali Kiba.Ukweli ni kuwa jamaa kaongea pumba au vapour.Kilaza sana Kiba sikutegemea kwa star km yule kuongea hayo. Msifiche ukweli
Huku ni kulewa sifa,akifikia level zakina P square sijui itakuwaje
hahahahahahahaHuyu demu Ana boa kwanza analazimisha kipaji na sauti yake utadhani ni mgonjwa wa ZIKA
KING au BALOZI ruksa kuwapa mbwa wakoNitajie jina la pili Ally Kiba (Nick name) nimwite mbwa wangu. Halafu hili neno kukurupuka wala watu wengi hawajui pa kulitumia, Ally akiwa anajua kabisa jina hili Kuna mtu tena msanii mwenzie wa muziki, akaamua ampe mbwa Na kutangaza ili watu wajue. Angetumia busara akampa jina lingine angepungukiwa nini?
Kiba sikuhiz sijui anavuta bange
hebu fikiria kidogo.....Ali Kiba anulizwa unamjua Ruby? Anajibu Ruby ni mbwa wangu! Amekosea kwa kweli.mnaoponda wote ni team diamond, mambo mengine bhana, aende brela basi akasajili hlo jina lake liwe lake peke yake, teh!
mkuu bora ulivowafafanulia hawa bongo lala wengine...hivi wameshindwa hata kuconnect dots mdada wa watu anacholalamikia?ruby hajalalamika mbwa wa kiba kuitwa ruby la hasha!bali kiba kuulizwa juu ya "msanii ruby" hlf yy akamrefer mbwa wake,kwa iyo mbwa wake ni msanii wa kike?jamaa aachage dharau sio sifa wala nini,zaidi ataonekana mbwiga tu.Nadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
King Kiba eti.KING au BALOZI ruksa kuwapa mbwa wako
Ww upo wapi mkuu? Jaribu ku google
Ndio..K
King Kiba eti.
mkuu bora ulivowafafanulia hawa bongo lala wengine...hivi wameshindwa hata kuconnect dots mdada wa watu anacholalamikia?ruby hajalalamika mbwa wa kiba kuitwa ruby la hasha!bali kiba kuulizwa juu ya "msanii ruby" hlf yy akamrefer mbwa wake,kwa iyo mbwa wake ni msanii wa kike?jamaa aachage dharau sio sifa wala nini,zaidi ataonekana mbwiga tu.