Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Huku ni kulewa sifa,akifikia level zakina P square sijui itakuwaje
 
Nadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
Cha muhimu hawa wasanii wetu wawe makini katika mahojiano yao maana hii hali haileti picha nzuri na haipendezi
 
Watu wana mahaba yaliyopitiliza kwa Ali Kiba.Ukweli ni kuwa jamaa kaongea pumba au vapour.Kilaza sana Kiba sikutegemea kwa star km yule kuongea hayo. Msifiche ukweli
Kiukweli amezingua sana na sikutarajia yeye angeongea maneno yale
 
Huku ni kulewa sifa,akifikia level zakina P square sijui itakuwaje

Kiki za kipimbi tu. And I asure u this is planned. Kiba hawezi survive ktk game bila kuzungumziwa.

Shangaa. ! Na utashangaa zaidi watavyopiga kolabo pa1.
 
Huyu Demu Ni Kilaza Sana.Anafosi Skendo Kutafuta Umaarufu Kupitia Mgongo Wa KingKiba.Analalamikia Jina Ambalo Kwake Ni A.k.a Tu.Anatakiwa Akapimwe Akili.Mimi Nna Mbwa Wangu Namuita Jerry.Kwahyo Kina Jerry Muro Nao Aandamane.? Huu Ni Uchizi.Kilichotokea Ni Coicendence Tu Na Wala Management Ya Kiba Haipaswi Kumuomba Radhi Huyu Demu Kilaza.
 
Nitajie jina la pili Ally Kiba (Nick name) nimwite mbwa wangu. Halafu hili neno kukurupuka wala watu wengi hawajui pa kulitumia, Ally akiwa anajua kabisa jina hili Kuna mtu tena msanii mwenzie wa muziki, akaamua ampe mbwa Na kutangaza ili watu wajue. Angetumia busara akampa jina lingine angepungukiwa nini?
KING au BALOZI ruksa kuwapa mbwa wako
 
Kiba sikuhiz sijui anavuta bange

Dogo alivamia sanaa asiyoijiuwa kwa pupa.....alibebwa sana japo alikuwa hana nyimbo za maana. Sasa anaona watu wamemshitukia anatafuta vituko makusudi kwa kujitwisha upashikuna ili watu wamzungumzie. Kijana mla makombo kaishiwa, anazuga tu.
 
Huyo demu jina halisi anaitwa nani. ?
 
Nyimbo Zenyewe Anatungiwa Lakini Bado Anajiona Star.Yeye Sio Level Za King That's Y Anatafuta Kick!
 
Nadhani wote mmemis point hapa kama pepa wengi mmepata ziro, alikiba aliulizwa na mtangazaji vipi kuhusiana na msanii wa kike ruby , alikiba akajibu rubi anamjua kama mbwa wake mpya, wakati anajua msanii ruby ameimba collabo na mdogo wake na yeye ndo aliwakutanisha
mkuu bora ulivowafafanulia hawa bongo lala wengine...hivi wameshindwa hata kuconnect dots mdada wa watu anacholalamikia?ruby hajalalamika mbwa wa kiba kuitwa ruby la hasha!bali kiba kuulizwa juu ya "msanii ruby" hlf yy akamrefer mbwa wake,kwa iyo mbwa wake ni msanii wa kike?jamaa aachage dharau sio sifa wala nini,zaidi ataonekana mbwiga tu.
 
Tatizo madogo ú dont thnk like GREAT THINKERS...!! Embu jiulize why did that question come in the first place...

What does Kiba got to do with Rubi? Hadi hlo swali liwepo ktk interview..??

Hicho kipindi mimi nilisha acha kifuatilia kitambo coz kale ka bint kenyewe kanacho host ni kabaya, stressed and frustrated.. Kana probe ishu ambazo wala hazina maana ktk game.

Sasa kwa vile Kiba nae ni Kima, akaliparamia tu hilo swali. Of which im sure he had been informed of...!

Nonsensizz....
 
Back
Top Bottom