Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Wewe hiyo D nne zinzotakiwa ila Mbili lazima ziwe za Kemia na BiologyD2 kwa somo la fani maalum ni dharau kwa fani husika.
Haya mambo tuwaachie wanajeshi na polisi wao matokeo ya vyeti hayana maana ktk kozi zao,ni afya timamu na akili timanu.
Kwani C mbili ndio zinaongeza ufanisi?Kipi muhimu kusaidia vyuo binafsi au kuongeza ufanisi kwenye fani ya ufamasia?
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni kubwa mno kwa wanafunzi wetu, hivyo wizara haitendi haki kwa wanafunzi wetu waishio Tanzania.
Na mpaka sasa wizara haijatoa tamko lolote maana kikao kilikuwa na mtimtimti kikahairishwa kama si kuvunjika kabisa!
Serikali ya CCM, chama langu, muwasikilize Watanzania!
Wanafaulu vizuri tyu labda wasiojituma kusoma!Hata hivyo vyuo vimekuwa vikitapeli wanafunzi kwa kuwadanganya wanafunzi haiwezekani darasa la wanafunzi 200 wafuaulu 20 halafu waliofeli uwadanganye warudie mtihani mwakani wafeli tena huku wanazidi kulipia mtu anasoma certificate kwa miaka 4 na hamalizi mpaka anakimbia mwenyewe
Kiukweli kwa kozi za Afya kupewa D2 kunashusha thamani na ubora wa wanafunzi. Angalau warudishe kama zamani hizo C2 ambazo ni lazima.
Acha uongo mzee babaHata hivyo vyuo vimekuwa vikitapeli wanafunzi kwa kuwadanganya wanafunzi haiwezekani darasa la wanafunzi 200 wafuaulu 20 halafu waliofeli uwadanganye warudie mtihani mwakani wafeli tena huku wanazidi kulipia mtu anasoma certificate kwa miaka 4 na hamalizi mpaka anakimbia mwenyewe
Ni C 2 za Olevel au A level?Hakuna tofauti kati ya D mbili na C mbili
Kwani akiwa na C mbili ndio itaongeza ufanisi kumzidi mwenye D mbili au?
Mtu anae pata c2 either anajuinga na advance au anapagiwa katika vyuo au sekondari za serikali.kwa maana hiyo vyuo private vitakufa rasmi kama shule za high school za binfsi zinavo kufa taratibu......D mbili ni dharau kwa fani husika, hapo ni mwendo wa C tu, watu wajikaze wapambane, wasome, wapate c 2. Si kutuletea watu hawajui mambo vema.
unakuwaje na akili timamu katika D mbili??? Ndo maana Polisi wanafanya mambo ya hovyo hovyo maana huwezi kuwa na utimamu wa akili ktk D mbili.D2 kwa somo la fani maalum ni dharau kwa fani husika.
Haya mambo tuwaachie wanajeshi na polisi wao matokeo ya vyeti hayana maana ktk kozi zao,ni afya timamu na akili timanu.
Usikariri,aliyekwambia akili ni matokeo ya juu ya shule ndiye huyu kakuacha na cheti chako safi hujui hata unaamka na idea gani.unakuwaje na akili timamu katika D mbili??? Ndo maana Polisi wanafanya mambo ya hovyo hovyo maana huwezi kuwa na utimamu wa akili ktk D mbili.
Wamechelewa sana. Kuna utitiri wa wanafunzi kusomea afya kisa D mbili, shenzi.Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni kubwa mno kwa wanafunzi wetu, hivyo wizara haitendi haki kwa wanafunzi wetu waishio Tanzania.
Na mpaka sasa wizara haijatoa tamko lolote maana kikao kilikuwa na mtimtimti kikahairishwa kama si kuvunjika kabisa!
Serikali ya CCM, chama langu, muwasikilize Watanzania!