Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

Wamechelewa sana. Kuna utitiri wa wanafunzi kusomea afya kisa D mbili, shenzi.
Hata masomo mengine, wapandishe grades, ili elimu iwe na thamani.
Kwahiyo elimu inaongezwa thaman kwa kupandisha qualifications?
 
Unaendaje hospitali kuhudumiwa na mtu mwenye D mbili kwa mfano?
 
Unaendaje hospitali kuhudumiwa na mtu mwenye D mbili kwa mfano?
Unaendeshwaje kwasi na darasa la saba na hupati ajali?

Okay kuna maxingira penginepo yalikuwa sababu kwa watu hawa kupata D mbili!
Je hao waliopo mahospitali hao maCO watawapelrka wapi na wengi wao wana D mbili kwa madomo ya Bios na Kemia!
 
Kiukweli kwa kozi za Afya kupewa D2 kunashusha thamani na ubora wa wanafunzi. Angalau warudishe kama zamani hizo C2 ambazo ni lazima.
Tatizo la elimu yetu haliko kwenye grades. Kuna wahitimu wengi sana ambao wana hata grade A lakini knowledge yao haiendani na grade wanazopata. Hii ni kwa sababu wanafunzi na wanavyuo wanasoma kwa kukariri. Njia sahihi ilikuwa ni kufumua kwanza mfumo wa elimu na kuja na utaratibu unaojali zaidi kuelewa na siyo kupata grade nzuri. Hpa san sana wanazidisha zaidi tatizo kwani wanafunzi badala ya kusoma ili waelewe watakuwa wanatafuta njia za kuongeza grades wanazopata bila kujali knowledge. Pia wanaweza ku-introduce entrance examination ambazo zitapima zaidi maarifa na siyo ukariri.
 
D2 kwa somo la fani maalum ni dharau kwa fani husika.

Haya mambo tuwaachie wanajeshi na polisi wao matokeo ya vyeti hayana maana ktk kozi zao,ni afya timamu na akili timanu.
unakuwaje na akili timamu katika D mbili??? Ndo maana Polisi wanafanya mambo ya hovyo hovyo maana huwezi kuwa na utimamu wa akili ktk D mbili.
Mwanangu wewe una madini mimi naona wangeweka C Kabisa maana ni kudharau fani alaf pharmacy ni kozi nyeti ya Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…