Pre GE2025 Mtifuano wa Uchaguzi wa CHADEMA kwenye Kanda usipime. Hakuna mwenye uhakika wa kushinda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Awalipe wale wakina tumaini makene kama ana hela kweli!
Mimba ya Mr Mbowe kama inakusumbua kunywa uji wa unga wa ngano,changanyia na ulanzi,walipeni wazee wa EAC(fedha mlizo waibia maana hazikua za serikali yako ),na wazee wa TAZARA wamelalama humu juzi kati
 
Mnataka kushika dola, na mnachagua mnachagua watu aina ya NTOBI?,
 
Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali.
===

Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri.

Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa kanda, mweka hazina na katibu wa kanda. Kanda hizo ni Victoria, Magharibi, Nyasa na Serengeti zinazounda mikoa ya Mwanza, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Mbeya, Iringa, Njombe, Mara, Rukwa, Katavi, Tabora, Songwe na Kigoma.

Kwa mujibu wa tangazo la uchaguzi lililotolewa leo Ijumaa Aprili 12, 2024 na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Benson Kigaila limeeleza kuwa fomu za kuwania nafasi hizo zitapatikana kwa makatibu wa mikoa na tovuti ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Miongoni wa vigogo wanaotajwa kuchukua fomu ni pamoja na aliyekuwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' atakayechuana na Mchungaji Peter Msigwa anayetetea uenyekiti wa kanda ya Nyasa. Wengine ni mwenyekiti wa Bavicha, John Pambalu atakayekabiliana na Ezekiah Wenje katika Kanda ya Victoria.
wamatifuana nini sasa akati wote wepesi tu... :3Heading:
 
Ashinde Sugu angalau afaidi za join the chain,Msigwa kaiba sana hadi amejenga ghorofa pale Town iringa
 
Back
Top Bottom