wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Hence proved,Pindalization theory works accurately!
hii theory ni tata sana, pia itawaumiza wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hence proved,Pindalization theory works accurately!
Chama Cha Waalimu Tanzania hebu shughulikieni hilo ili asilimia mbili ya mshahara wa mwalimu huyo aone mnaikata kihalali
alaaniwe kikaragosi huyo aliyepiga mwalimu wetu
.
.
.
.
.
.
bado 2015 unawakuta walimu.......iyena iyenaa iyena iyenaaa che che me numbari one!.....m@anina,na bado mtapigwa sana mwaka huu.
.
.
.
.
.
.
bado 2015 unawakuta walimu.......iyena iyenaa iyena iyenaaa che che me
numbari one!.....m@anina,na bado mtapigwa sana mwaka huu.
achene kutetea jinga OCD yupo sahihi, Mkuu wa shule anapata fedha za Capitation kiasi cha Tshs 12,000/= kwa kila kichwa cha mwanafunzi aliyepo shuleni, hapo Wakuu wa shule huongeza idadi ya wanafunzi hewa kadhaa ili apate capitation kubwa zaidi! kujenga strong room ni wajibu wake shule inapaswa kuwa na strong room! muulize Mkuu wa shule vyeti vya wanafunzi na nyaraka zingine za siri anaweka wapi? ............................ kuna wakuu wa shule anashindwa haja kununua meza ya ofc yake huyo anamsubiri JK amretee wakati ana capitation achilia mbali ada za wanafunzi na michango mingine ambayo ana mamlaka ya kupanga matumizi yake?.............TAFAKARI CHUKUA HATUA KWA SEHEMU YAKO ULIPO TUWE WAZARENDO ANZA WEWE WENGINE WATAFUATA
Ukiwa CDM lazima ukubali kubakwa na serkali..! Kosa la huyu Mkuu wa shule ni kuwa Chadema. Nadhani wenzake wenye viherehere wanalo la kujifunza
Acha uongo wewe, huyu ameadabishwa ili awe mfano hai kwa watumishi wa uma wenye viherehere vya kuishabikia chadema. Kimsingi ametafutiwa case na kichapo amechezea. Kwa taarifa yako hakuna sheria inayompa ocd mamlaka ya kutembeza kichapo hadharaniachene kutetea jinga OCD yupo sahihi, Mkuu wa shule anapata fedha za Capitation kiasi cha Tshs 12,000/= kwa kila kichwa cha mwanafunzi aliyepo shuleni, hapo Wakuu wa shule huongeza idadi ya wanafunzi hewa kadhaa ili apate capitation kubwa zaidi! kujenga strong room ni wajibu wake shule inapaswa kuwa na strong room! muulize Mkuu wa shule vyeti vya wanafunzi na nyaraka zingine za siri anaweka wapi? ............................ kuna wakuu wa shule anashindwa haja kununua meza ya ofc yake huyo anamsubiri JK amretee wakati ana capitation achilia mbali ada za wanafunzi na michango mingine ambayo ana mamlaka ya kupanga matumizi yake?.............TAFAKARI CHUKUA HATUA KWA SEHEMU YAKO ULIPO TUWE WAZARENDO ANZA WEWE WENGINE WATAFUATA
Ukiwa CDM lazima ukubali kubakwa na serkali..! Kosa la huyu Mkuu wa shule ni kuwa Chadema. Nadhani wenzake wenye viherehere wanalo la kujifunza
huyo ocd mwehu nae, bora angeulizia safe tungemuelewaStrong room shuleni? imekuwa bank chumba cha kuhifadhia hela au polisi chumba cha kuifadhia silaha? Huyo ocd na baazazi tu, afisa elimu mwl wako anapigwa unaangalia tu wakati shule zako zoote hapo wilayani unajua zilivyo, shame on you