Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

achene kutetea jinga OCD yupo sahihi, Mkuu wa shule anapata fedha za Capitation kiasi cha Tshs 12,000/= kwa kila kichwa cha mwanafunzi aliyepo shuleni, hapo Wakuu wa shule huongeza idadi ya wanafunzi hewa kadhaa ili apate capitation kubwa zaidi! kujenga strong room ni wajibu wake shule inapaswa kuwa na strong room! muulize Mkuu wa shule vyeti vya wanafunzi na nyaraka zingine za siri anaweka wapi? ............................ kuna wakuu wa shule anashindwa haja kununua meza ya ofc yake huyo anamsubiri JK amretee wakati ana capitation achilia mbali ada za wanafunzi na michango mingine ambayo ana mamlaka ya kupanga matumizi yake?.............TAFAKARI CHUKUA HATUA KWA SEHEMU YAKO ULIPO TUWE WAZARENDO ANZA WEWE WENGINE WATAFUATA
 
Chama Cha Waalimu Tanzania hebu shughulikieni hilo ili asilimia mbili ya mshahara wa mwalimu huyo aone mnaikata kihalali
alaaniwe kikaragosi huyo aliyepiga mwalimu wetu

hiko chama kipo kwaajiri ya migomo uchwara na sio kwaajiri ya haki za walimu, au wajibu wa wizara ya elimu ktk elimu.
hiko chama kipo kwaajiri ya kukusanya michango ya walimu pasipo kuwajari wachangiaji wao.
 
OCD anatekeleza agizo la waziri mkuu "wapigwe tu"
 
.
.
.
.
.
.
bado 2015 unawakuta walimu.......iyena iyenaa iyena iyenaaa che che me numbari one!.....m@anina,na bado mtapigwa sana mwaka huu.

Asante. Maana umenifanya nicheke sana na naamini na ka afya kameongezeka kwa kucheka! Kweli walimu hawajitambui kuwa ni watu muhimu mno katika kuleta mabadiliko katika taifa letu. Acha WAPIGWE TU.
 
​wakubwa zake wamuwajibishe kiulaini, sijawasikia cwt
 
.
.
.
.
.
.
bado 2015 unawakuta walimu.......iyena iyenaa iyena iyenaaa che che me
numbari one!.....m@anina,na bado mtapigwa sana mwaka huu.

kwi kwiiii
huu uzi umenichekesha ila wewe zaidi.. hapo kwenye iyenaa iyenaa lolz
 
Huyu OCD si mstaarabu kabisa, sasa yeye alitaka aonyeshewe 'choo ndio strongroom'?
 
Ukiwa CDM lazima ukubali kubakwa na serkali..! Kosa la huyu Mkuu wa shule ni kuwa Chadema. Nadhani wenzake wenye viherehere wanalo la kujifunza
 

ni kweli, humo ktk red hunayo haki ya kumlaumu huyo Mkuu wa shule, lakini sio hoja ya kuhalalisha kitendo alichofanya huyo OCD hata kama ni polisi (na wasiwasi na akili yake akiwa kazini) hajafanya fair, huo ni udharirishaji na ukandamizaji.

pia uzalendo sio kutetea maovu. japo kila raia ana haki ya kuleta na kushiriki ktk maendeleo.

jiulize, ni shule ngapi zina ofisi ya walimu au vyoo vya haja kwa watoto, pia jiulize ni hatua zipi zilichukuliwa baada ya kupigwa huyo mwalimu na kwanini hatua hizo wasingezifanya kabla ya kichapo..... pia fikiri kisha jari usawa,,, maana mwalimu mkuu wa ilala au kinondoni ni tofauti na wa huko vijijini.
 
Ukiwa CDM lazima ukubali kubakwa na serkali..! Kosa la huyu Mkuu wa shule ni kuwa Chadema. Nadhani wenzake wenye viherehere wanalo la kujifunza

sio kweli, maana wana CDM wanasubiri 2015 ktk uchaguzi na ukweli wao upo nafsini maana wamechoka na ufisadi na ubabe wa kishamba kama huu wa OCD.
 
Acha uongo wewe, huyu ameadabishwa ili awe mfano hai kwa watumishi wa uma wenye viherehere vya kuishabikia chadema. Kimsingi ametafutiwa case na kichapo amechezea. Kwa taarifa yako hakuna sheria inayompa ocd mamlaka ya kutembeza kichapo hadharani
 
da very sad newz ngoja tumsubirie kibaraka mukoba atasemaje hapa.
 
huyo anasabab yake sio bure
na itakua wamepesha kwa mishe zngne tuuu
 
Binafsi sidhani kama mleta uzi huu katuongopea. Kama ni kweli, huyo polisi kafanya yasiyostahili kufanywa na mtumishi wa umma(kipigo) hivyo hatua kali za kinidhamu zichukuliwe na vyombo husika kwa wote waliokuwepo akiwamo afisataaluma kwani alishindwa kumtetea mwalimu ambaye kimsingi anawajibika chini yake. Isitoshe kupiga ndo strongroom inapatikana? Askari na wote wa aina hii ya utendaji warudi darasani kusoma tena ethics za utumishi wa umma. Inauma sana kuwadhalilisha walimu kiukweli. Cwt amkeni kwa hili muwalinde wanachama wenu sio mnachukua michango yao bila kuwatetea na uonevu pia. Paazeni sauti zenu walimu ipo siku mtasikilizwa.
 
big result now, shule lazima iwe na strong room kama bank
 
Strong room shuleni? imekuwa bank chumba cha kuhifadhia hela au polisi chumba cha kuifadhia silaha? Huyo ocd na baazazi tu, afisa elimu mwl wako anapigwa unaangalia tu wakati shule zako zoote hapo wilayani unajua zilivyo, shame on you
huyo ocd mwehu nae, bora angeulizia safe tungemuelewa
 
Big Result Now haijafika kwenye hiyo shule, OCD apewe haki yake kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…