Tema mate chini, ana pesa za mabeberuMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Kwa Lissu unaonaga vipingamizi tuuu ndio maana Mungu anamshindia Vita zake !!!Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Watoe tu account za bank au namba za simu ujionee mwenyewe Mungu anataka kudhihirisha mpango wake kwa nchi hiiMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Kwani nawewe kumpigia kura lissu mpaka upewe darasa lakumuhusu lissu?Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Mataga punguza jazba alafu tulia sindano ikuingie vizuri.Ulikuwa ukichanga nini wewe una pesa?
Walikuwa wakichanga pesa za kueleweka akina mzee marehemu Ndesamburo,Wafadhili wa nje wa Dr Slaa ,akina Lowasa ambao hawapo tena .Zile helikopeta mliziona zikikata mawimbi hewani zilikuwa hazirushwi kwa pesa kuchanga za Tigo rusha!!!
Basi futa machozi usilie, punguza jazba, kaa kwa utulivu sindano ya Lissu ikuingie vizuri.Wanachama wa cdm ni wazungusha mikono na kushikiwa akili siku zote. Walikuwa wananaibiwa kwa kuchangishwa fedha za mafuta ya hedikopta, baadaye ikaja hiyo ya kupitia tigo. Wabunge tukawasikia juzi kati hapa wakilalamikia kukatwa mishahara yao kwa kushurutishwa na lazima. Hakuna hata mwenye kuthubutu kuomba kupewa maelezo ya jinsi fedha hizi zinatumika.
Mkt atakuja na mradi wake wa Fuso chakafu. Makumu mwenyekiti na bajeti yake ya kusimamia kesi mbalimbali za wanachama. Wajinga ndio wali wao huliwa kama ubwabwa.
Hamtaki? Wewe na nani? Na ninyi kama nani???Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Mmmmmm mawakala wa bure utawatoa wapi? Hili Ni eneo ambalo linahitaji pesa nyingi Sana kuweka mawakala vituo vyote vya kupiga kura nchi nzima pesa yake Sio ya kitoto
Hii sikuisikia vizuri hebu nifafanulieNa Yule anaemuozesha mama kwa mahari ya jogoo anapata wapi mkopo nafuu?
Hii sikuisikia vizuri hebu nifafanulie
Wanachama wa cdm ni wazungusha mikono na kushikiwa akili siku zote. Walikuwa wananaibiwa kwa kuchangishwa fedha za mafuta ya hedikopta, baadaye ikaja hiyo ya kupitia tigo. Wabunge tukawasikia juzi kati hapa wakilalamikia kukatwa mishahara yao kwa kushurutishwa na lazima. Hakuna hata mwenye kuthubutu kuomba kupewa maelezo ya jinsi fedha hizi zinatumika.
Mkt atakuja na mradi wake wa Fuso chakafu. Makumu mwenyekiti na bajeti yake ya kusimamia kesi mbalimbali za wanachama. Wajinga ndio wali wao huliwa kama ubwabwa.
Unasikikiliza porojo pesa iliyotumiwa ilikuwa ya ruzuku wewe
Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Mie nimekuuliza swali. "Wewe ni mke wa CHADEMA hadi ujue siri za ndani za mumeo?"
Sisi wanachadema tutachanga hilo kwetu sio shida
Nina wasiwasi na akili zako kama screws zote zimefungwa vizuriha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke