Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hizi nyimbo za Sikinde zishachuja hakuna mtu anamjua. Huyo Lijualikali aliyekuwa anajipendekeza kwa ccm kwa kuichafua cdm, ndio huyo huko ccm kufunikwa na watoa rushwa, saa hii analilia arudi cdm.
Kafunikwa na watoa rushwa au wanamtandao. Sijui kuwa viongozi wa CCM wa juu walifanikiwa kuliona hili. Wanamtandao walimtuma mjumbe wao pale Dodoma. Yule aliye tumia ile fursa iliyotolewa na Mkt ya mwenye swali kuuliza. Akasema nimetumwa.....Narudia sijui kama walimchukulia yule jamaa serious. Je walijua ilikuwaje kati ya wajumbe zaidi ya 2,000 apate fursa na muulize lile swali? Mkt alimkrashi tu na majibu wameyapata kwenye matokea ya kura za maoni.
Inahitajika, akili, nguvu nia ya kweli, raslimali za uhakika kuusambaratisha ule mtandao wa ccm usio rasmi. Huu mtandao ulisha onja asali ya kumuweka mtu wao kama Rais wa JMT. Una succession plan ya uhakika, si wa mchezo mchezo.