Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajutia kumpa political mileage kwa zile risasi 16. Nina hakika wameanza kumlaumu aliyesababisha haya,wakati mwenyewe kajilaza Kigamboniiii anacheza na mtoto wake wa kupandikiza.Huyo huyo YEHODAYA alikuwa anampigia debe Nyalandu na kusema kuwa Lissu hakubaliki kwa wana Chadema.
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Wanamtandao kuwa shinda na kuungamiza kunatakiwa iundwe kurugenzi yake mahususi ya kushughulika nao mkuu. Kama ile ya kuleta uhuru nchi za kusini mwa Afrika. Hawa ni hatari zaidi ya mapambano ya mihadarati.
Kicheko cha wachawi hutisha wenye woga tu.ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Watajutia kumpa political mileage kwa zile risasi 16. Nina hakika wameanza kumlaumu aliyesababisha haya,wakati mwenyewe kajilaza Kigamboniiii anacheza na mtoto wake wa kupandikiza.
Kicheko cha wachawi hutisha wenye woga tu.
Hizo bilioni nyie mnataka za nini zaidi ya kuwapa wajumbe.
Chadema wakiamua kuchanga mtaaibika bure jamaa zangu.
Eeeee! Ndo makazi yake ya kudumu,japo wajumbe wa Taifa wamemkataa hawamtaki huko.Kumbe jamaa anakaa kigamboni? [emoji23][emoji23][emoji23]
Chadema wakiamua kuchanga mtaaibika bure jamaa zangu.