Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Tema mate chini, ana pesa za mabeberu
 
Kwa Lissu unaonaga vipingamizi tuuu ndio maana Mungu anamshindia Vita zake !!!
 
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.

Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu nk

Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Watoe tu account za bank au namba za simu ujionee mwenyewe Mungu anataka kudhihirisha mpango wake kwa nchi hii
 
Utaendaje vitani bila siraha za kutosha mkuu? Kumbuka hii ni general election sio uchaguzi wa wenyekiti wa vitongoji
 
Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.

Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Kwani nawewe kumpigia kura lissu mpaka upewe darasa lakumuhusu lissu?
 
Ulikuwa ukichanga nini wewe una pesa?

Walikuwa wakichanga pesa za kueleweka akina mzee marehemu Ndesamburo,Wafadhili wa nje wa Dr Slaa ,akina Lowasa ambao hawapo tena .Zile helikopeta mliziona zikikata mawimbi hewani zilikuwa hazirushwi kwa pesa kuchanga za Tigo rusha!!!
Mataga punguza jazba alafu tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Wanachama wa cdm ni wazungusha mikono na kushikiwa akili siku zote. Walikuwa wananaibiwa kwa kuchangishwa fedha za mafuta ya hedikopta, baadaye ikaja hiyo ya kupitia tigo. Wabunge tukawasikia juzi kati hapa wakilalamikia kukatwa mishahara yao kwa kushurutishwa na lazima. Hakuna hata mwenye kuthubutu kuomba kupewa maelezo ya jinsi fedha hizi zinatumika.

Mkt atakuja na mradi wake wa Fuso chakafu. Makumu mwenyekiti na bajeti yake ya kusimamia kesi mbalimbali za wanachama. Wajinga ndio wali wao huliwa kama ubwabwa.
Basi futa machozi usilie, punguza jazba, kaa kwa utulivu sindano ya Lissu ikuingie vizuri.
 
Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.

Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Hamtaki? Wewe na nani? Na ninyi kama nani???
 
Mmmmmm mawakala wa bure utawatoa wapi? Hili Ni eneo ambalo linahitaji pesa nyingi Sana kuweka mawakala vituo vyote vya kupiga kura nchi nzima pesa yake Sio ya kitoto

Mawakala wa bure kabisa hawapo kwa wingi, ila mimi na mke wangu kwa hilo tuko tayari. Na bado sehemu nyingi watu wanaoaminika na chama wanaweza kujitolea pia. Ukikubalika na wananchi wala hupati shida kwenye hilo. Ni kweli eneo hili linahitaji hela, lakini sio kwamba haiwezekani. Hivyo hayo matamanio yako ni kazi bure.
 
Wanachama wa cdm ni wazungusha mikono na kushikiwa akili siku zote. Walikuwa wananaibiwa kwa kuchangishwa fedha za mafuta ya hedikopta, baadaye ikaja hiyo ya kupitia tigo. Wabunge tukawasikia juzi kati hapa wakilalamikia kukatwa mishahara yao kwa kushurutishwa na lazima. Hakuna hata mwenye kuthubutu kuomba kupewa maelezo ya jinsi fedha hizi zinatumika.

Mkt atakuja na mradi wake wa Fuso chakafu. Makumu mwenyekiti na bajeti yake ya kusimamia kesi mbalimbali za wanachama. Wajinga ndio wali wao huliwa kama ubwabwa.

Hizi nyimbo za Sikinde zishachuja hakuna mtu anamjua. Huyo Lijualikali aliyekuwa anajipendekeza kwa ccm kwa kuichafua cdm, ndio huyo huko ccm kufunikwa na watoa rushwa, saa hii analilia arudi cdm.
 
Nani kakwambia mgombea inabidi awe na pesa za kampeni. Hilo ni la chama na wananachama. Hakika Litaisha vema kabisa.
 
Dadadeeeki, kweli mataga safari hii mh Lissu amewashika vibaya sana, jiandaeni kisaikolojia
Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.

Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
 
Huyo ni mpiga zumari wa lumumba, anajitahidi kuikoa ccm yake baada ya yule wasiye mpenda kuingiza timu uwanjani
Mie nimekuuliza swali. "Wewe ni mke wa CHADEMA hadi ujue siri za ndani za mumeo?"
 
Kuingia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu sio jambo la bahati mbaya au la dharura, hapa chama kilisha jiandaa kimkakati toka muda mrefu! Hivyo susla la pesa za kampeni sio issue tena , subiri utaona muziki utakaopigwa!
 
ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Nina wasiwasi na akili zako kama screws zote zimefungwa vizuri
 
Back
Top Bottom