nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Uchaguzi wa mwaka huu utawashangaza watanzania, afrika mashariki, afrika na dunia nzima. Tuombe uhai na afya njema.Nyalandu was best, Ana hela na Exposure kubwa hata connection Zake huko duniani zinatisha sana Na hizo zote alizipata wakati akiwa waziri wa maliasili, Jamaa ni Predidential material ila kwa vile mmeamua kwenda na TAL basi JPM asubuhi sana anachukua nchi, Msitegemee mwenyekiti wa Saccos aingie mfukoni ku fund kampeni za chama mzigo utarudi kwa wanachama na hao wabunge
Wazo langu kwa sasa Chadema waanze kuchonga mabakuli ya kuombea tu pesa ili waweze ku afford walau kuzunguka mikoa michache.
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Wafanye hesabu, waliopiga kura2015 watu 6.8m×1000tshs. itatoshaKuhusu pesa ccm ondoeni shaka, viongozi wetu wakifungua A/C bank asbh kuomba fedha ikifika jioni itakuwa tayari fedha zimetimia.
Kwani Magufuli ana pesa kiasi gani kwa ajili ya kampeni.....!!? Au kwa kuwa ameshikilia mfuko wa hazina ya serikali .... Na atakuwa anatanua na magari ya serikali!!Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Ila we jamaa Lissu anakutoa kamasi sana khaa!Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Elewa Tundu Lissu amezunguka nchi nyingi za ulaya. Huko alikuwa akienda kupiga kopo la msaada kwa ahadi ya kuwalipa akipata U-JPM. La kujiuliza ni kwamba atawalipa nini baada ya kupata urais?Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
WasindikizajiMtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Wananchi nao hawana pesa ili wajikomboe?Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Sasa kqma zimepigwa kimehemko wewe hufurahi kuona mgombea wako atashinda kiurahisi??, Mlimtaka Nyalandu ili mpate pakusemea??.Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Tumemchangia Kamanda TL matibabu huko Ubelgiji baada ya serikali ya CCM kumnyima stahiki yake. Pia wanachama tumemchangia gharama zote za kujikimu kwa muda wote huu. Hii psa ya kampeni ni kitu kidogo sana, wala ksikuhangaishe wewe Yehodaya na CCM yenu! Mtahangaika saaana, lakini ngoma ndo inaanza!Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Kwa hiyo watu wateuliwe kulingana na uwezo/utajiri wao wa fedha badala ya uwezo wao kuongoza na kukubalika myoyoni mwa wanachama na wananchi?Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
Ingia jikoni kasonge ugali wanaume wakimaliza kikao waje wale, mtoto wa kike haya mambo hayakuhusu acha umbea! Kwanza kuchanga ni siku moja tu tunapitiliza hadi lengo.Sio leo tu tumeandika sana humu kuhusu hilo kuwa Chadema wawe makini sababu hatutaki mtu tu kuteuliwa kwa mihemka bila ku take into consideration reality ya mambo.
Kampeni ni kitu real na inahitaji pesa sio mihemko. Kura zimepigwa ki mihemko sasa real thing hiyo inakuja pesa za kampeni zitatoka wapi?
Hujui kwamba asili ni kuchagua miongoni mwetu pasina kuangalia kipato au familia atokayo bali ni uwezo wa kuyaeleza Matatizo yetu, kujenga hoja na kuelekeza Serikali inapokosea na zaidi ni kushiriki katika kutengeneza sera kwaajili ya maendeleo yetuDhana ya uwakilishi ina lipi jipya?
Hakuna mtu anaehangaika na haya maigizo yenu. kama ulikua hujui, hili ndo suala ambalo toka mwanzo Mwenyekiti wenu lilikua likimuumiza kichwa kuchagua kati ya fedha na umaarufu wa mtu (ushawishi). Nyalandu ana fedha lakini hana umaarufu kumzidi Lissu. Ukifuatilia hotuba ya jana ya Lissu aligusia hili, kwamba chama lazima kichague mtu mwenye ushawishi ili kuweza kushinda uchaguzi. Kauli hii haikua ya bahati mbaya, alijua alichokua anakimaanisha. Lakini Uchaguzi kama alivyoeleza mleta mada una mambo mengi ambayo lazima utumie fedha kuliko umaarufu.Mtanyooka safari hii, naona mnahangaika kama mnataka kutaga YEHODAYA