Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Achana nao hao mkuu...sisi huku tuna pesa nyingi ata juzi watia nia walikua wanatoa rushwa ili kuonyesha kua pesa tunayo ata kama wapiga kura ni mandondocha
 
Hata kama wangekuwa nazo bado lissu ni gunia la viazi vilivyooza,hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa namna iwayo
 
Tutaomba lift kwenye malori kama tatizi ni usafiri, kulala nyumba za wanachadema zipo kila sehemu na msosi atakula tu wa bure, gari la matangazo hata kipaza sauti kitatosha😈😈😈😈
 
Vipi ulivyosikia Tundu kapita ulipata usingizi kweli
 
Miujiza itatenda kazi yake nadhani fedha wanazo walikatazwa kuzunguka kutoa shukurani kwa wapiga kura
 
YEHODAYA,

Sawa, je una maoni mengine mazuri zaidi ya haya?
Tulichanga millioni 300 ndani ya siku tatu hata hili zoezi watuachie tu
Sindano imedungwa kwenye ubongo wa mtu
Wawe wapole tuuu
Enough is Enough
Tuheshimiane for once kwaaah
 
Nyerere alipodai uhuru alikuwa na sh. Ngapi?
Mandela alipotoka gerezani alikuwa na sh. Ngapi?
Kama kupigania haki ni lazima uwe na pesa Yesu asingefanikiwa kuleta ukombozi.
Inahitajika fedha nyingi kubaki madarakani ili ulipe vyombo vya usalama, tume za uchaguzi, kununua wapinzani, kununua magari ya washawasha, bunduki, mabomu nk.
Inahitaji attention tu kwa shida za wananchi, kuleta mabsdiliko. Lissu ns CDM hawana mpango wa kuhonga piki piki
 
Kwa hiyo ulitaka ateuliwe mwenye fedha? Hayo mambo ya CCM bwana!
 
Pesa siyo tatizo, Lisu atachangiwa. Hofu yetu ni kuwa ataharibu yote ya magufuri. Hivyo angesubiri 2025
 
We malaya wa kisiasa nyamaza kwanza bila chadema Mwigulu na .Nape wangekuona wapi uwe nashukrani kwanza usije ukaa hesabiwa laana
 
WAKATI NYERERE ANADAI UHURU, HAKUWA NA HELA, TICKET YA NDEGE KWENA UNO ALILIPIWA NA WATU TU.
 
Safi sana kwa kuliona hilo .lakini nikuulize hivi .Kwani mpaka mda huu CHADEMA wana kiasi Gani na wana pungukiwa na kiasi gani? vipi kipindi cha DR SLaa CHADEMA pia walipata wapi PESA za kapmeni?
 
Hawa wakora kiama chao kimefika
 
Wewe una cheo gani Chadema? Tutachanga kwani hata rais wa Gambia Adama Barrow alimshinda dikteta Yayah Jameh lkn hakuwa na chochote na Obama pia alishinda muhula miwili bila kuwa na pesa.

Tatizo nyie mumezoea hela ili kuhonga khanga na gongo. Bure kabisa.
 
Hamna lolote, utapeli mtupu.

Wewe sema unataka nondo zaidi hukutegemea kusikia haya, hapa si mahali pake kihivyo. Bali tatizo hili linatakiwa kuundiwa Kikosi Kazi maalum. Kulala kwao na kuamka kwao ni kufikiria njia za jinsi (preemptive measures)ya kufuta vimelea vya wanamtandao. Fikiria nchi eti inapata Rais kutokana na genge la wahuni.
 

Mahakama zipo, kwanini wasichukuliwe hatua kwa sheria halali? Mnataka kujifungia ndani ili mpambane na kundi lisilomnyenyekea mwenyekiti kwa kigezo cha wanamtandao? Rais huyu ndio anaongoza kwa kunajisi box la kura, usafi wake ni upi? Au nyie wapambe wake aliowapa maisha ndio mnajifanya mnawajua wanamtandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…