Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
-
- #41
Mkuu hata kama umepanga jambo litokee, likitokea lazima ushtuke kidogo.Kuamini kunayumba kidogo.Kwani ulipokuwa unajaza fomu ya kuomba ajira hiyo hukuwa sirias? Tena kampuni 6? Halaf unakuja kuomba ushauri acha masihara hayo
Daaaah, kweli tumefika mbaliYeah Yeah
Kila shule niliyoenda kuomba tempo zilikuwa zimejaa waalimu.So sikuwa na option nyingine zaid ya kubeba zege.Duu angalia pesa zisikuponze kwa niin form six Ata usifundishe ukapata Ela kuliko hizo zakufanya x kwenye video afu utakula dawa zakuongeza nguvu je ukitapeliwa itakuweje
Hapana mkuu, moja ya tahadhari ni kutokutunga mimba wakati wa kuproduce hizi video.Ikiwa mkuu wa nchi kasema fyatua tuu sasa sijui hii ndio moja wapo??[emoji15]
Nipo serious Mkuu, issue zote zimetait balaa.Hii ni kama bahati kwangu.Lol! Mkuu upo serious ama unatania jukwaa?
Hakuna issue nyingine ya kukutoa tofauti na industry za porno?
Dah! aya bhana tutakapokuona tutadhani ni mablack Americans kumbe ni mbongo anatumia fursaπππππ
Kila kitu ni cha kuogopa Mkuu, hata njaa na umasikini nauogopa pia.Muogope Mungu mkuu.
Ndiyo mkuu ila bado ni mchakato wa mwanzo mwanzo.Si ndo kazi hiyo umeipata!
Kila shilingi ina pande mbili Mkuu, kichwa na mkia.Ndacheki movie yako ucjali kama unaona ndo njia yakupita ili ufany urahisi wa maisha we pita ila njia yako inamiba mikali brooooooooo
Ndo hvyo!Ndiyo mkuu ila bado ni mchakato wa mwanzo mwanzo.