Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
-
- #141
Mkuu ni pesa nzuri tu, siwezi kuweka kila kitu wazi ila, mambo ya mkataba majaribio na malipo ni ishu iliyopo mezani kwa sasa.Kwani hilo dili la dollars ngapi per video hadi ukauze utu wako namna hiyo? Tuanzie hapo kwanza...
Poa Mkuu, pamoja sana.Nenda ukirudi uimarishe industry ya porn hapa nyumbani maana kina Giggy Money wako wengi..
Imagine ushauri huu unamuomba Mungu moja kwa moja pale yuko mbele yako!!Wasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Mkuu ni pesa nzuri tu, siwezi kuweka kila kitu wazi ila, mambo ya mkataba majaribio na malipo ni ishu iliyopo mezani kwa sasa.
Du naona nchi ya viwanda ilee inakuja
Mkuu hili jambo ni la kweli kabisa Kaka.Wamedai ni ajira kama zilivyo nyingine.Pia pale ubalozini kuna Mama mmoja alinichunguza kutaka kujua nakwenda kufanya nini huko na nilimtonya bila kuficha.Basi yeye alinijulisha na kunihakikishia kabisa bro.
Mdogo mdogo Mkuu, pole pole ndio mwendo.Pitia kwa dokta mwaka kachukue ile dawa naongesa ngufu, alaf amsha popo mwana tukuone, nipe stage name lako niwe nakucheki ukiwabaka wazungu
Dah sijui ingekuwaje, ila haijawahi kutoke so siwezi kuimagine.Imagine ushauri huu unamuomba Mungu moja kwa moja pale yuko mbele yako!!
Hapana Mkuu, kuna ubalozi na wanadiplomasia.Nimehakikishiwa msaada endapo mambo yatabuma.Unaweza ukafika pale wakakuwekea dau kubwa ili wenzio wajivinjar na KABANG YAKO
Hayo umesema wewe.akakuhakikishia kuwa utatumiwa na wewe! au?
Ngoja akapakuliwe Kisamvu ndio Aje tumpe ushaurhakika huyu ni wazi anapenda hiyo michezo sijui anataka ashauriwe nini sasa
Hauna kibamia lakin?Wasalam wana wa jukwaa.