Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Jamiiforums ni mtandao unaoheshimika kimataifa, unafuata kanuni za kimataifa za mitandao ya kijamii.Mkuu ebu weka maelezo juu ya nia yako ya kupost hizi sharia.
Moja ya kanuni hizo ni kutotawanya habari za picha/ filamu za ngono.
Kama kanuni ilivyojieleza, kuna watoto wadogo wanajiunga hapa.