tunage
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 252
- 168
kaka kwa jinsi unavojib maswali wewe ni mtaalamu wakupe uwakala tu uunganishe watu mana unaijua vzuri katiba yaoHaapana sikujaza kipengele cha homosexual.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka kwa jinsi unavojib maswali wewe ni mtaalamu wakupe uwakala tu uunganishe watu mana unaijua vzuri katiba yaoHaapana sikujaza kipengele cha homosexual.
Wasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Nani kakuambia ni wazungu?we nenda kichwa kichwa ukute ni gay porn [emoji23][emoji23][emoji23] wazungu sio wa kuwaamini
Mkuu huyo ni wa wapi?Mkuu nenda ukamtafune Kapri Styles 😀😀😀
Lazima ukijue kitu kabla ya kukirukia Mkuu.kaka kwa jinsi unavojib maswali wewe ni mtaalamu wakupe uwakala tu uunganishe watu mana unaijua vzuri katiba yao
Afadhali wewe una uwezo wa kuhisi ninavyoishi.Maisha yanataka maamuzi magumu muda mwingine mkuu.Mkuu kwanza pole na uamuzi mgumu. Najua wengi wanaongea kwasababu hawana njaa. Hawajui shida ikoje.
Naamini kabisa jinsi ulivyo muwazi sio kwamba ndio umeona kitu kina faa katika maisha yako bali hakuna jinsi.
Mimi nakushauri kwamba "a man got to do whatever its takes to survive".
Nakushauri iwe siri yako na Mungu wako. Usije ingia kwnye madwa ya kulevya na ukishapata mshiko wako tafuta kitu safi cha kufanya.
Moto wa Kuzimu au Jehanum?mkuu moto wa kuzimu unakuhusu
Ushauri mzuri, Sana, kijana chukua ushauri WA huyuMkuu kwanza pole na uamuzi mgumu. Najua wengi wanaongea kwasababu hawana njaa. Hawajui shida ikoje.
Naamini kabisa jinsi ulivyo muwazi sio kwamba ndio umeona kitu kina faa katika maisha yako bali hakuna jinsi.
Mimi nakushauri kwamba "a man got to do whatever its takes to survive".
Nakushauri iwe siri yako na Mungu wako. Usije ingia kwnye madwa ya kulevya na ukishapata mshiko wako tafuta kitu safi cha kufanya.
unaweza ukawepoMoto wa Kuzimu au Jehanum?
Kuzimu kuna moto?
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..
Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
Elimu ya kuajiriwa unayo, kama umeona una nguvu nyingi bora uombe kazi za majeshi, kuna nafasi za waliomaliza form 4 na 6. So nafasi ipo labda kama una tamaa ya mali nyingi kwa haraka haraka.Mkuu ata kama JPM akitoa ajira leo hazitanihusu, elimu ya kuajiriwa sina kabisa.
Usije ukakuta ni wewe ndo unaenda bong'olewa. Kukosa yote hayo na ugumu wa maisha na kila kitu Ni mtihani au kipimo toka kwa Muumba wako, hicho kipato ulichokuwa unapata kwenye zege weka weka akiba uvumbue biashara nyengine nadani kwa miezi michace tu ungeweza hata kufungua genge la kuuza matunda na mbogamboga kwa kuanzia tu, TATIZO UNA HARAKA NA MAISHA , Unataka uwe na gari na nyumba za kifahari kwa haraka haraka hata 30 bado tayari umekata tamaa, KUMBUKA MUNGU ANAKUONA, KAMA UNAHISI SHETANI NDO MSAADA KWAKO HAYA KILA LA KHERI.Mkuu try to be serious usije ukajuta
Una uhakika na wewe hawatakutumia