Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Wasalam wana wa jukwaa.

Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.

Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.

Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.

Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.

Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.

Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.

we nenda kichwa kichwa ukute ni gay porn [emoji23][emoji23][emoji23] wazungu sio wa kuwaamini
 
Mkuu kwanza pole na uamuzi mgumu. Najua wengi wanaongea kwasababu hawana njaa. Hawajui shida ikoje.
Naamini kabisa jinsi ulivyo muwazi sio kwamba ndio umeona kitu kina faa katika maisha yako bali hakuna jinsi.
Mimi nakushauri kwamba "a man got to do whatever its takes to survive".
Nakushauri iwe siri yako na Mungu wako. Usije ingia kwnye madwa ya kulevya na ukishapata mshiko wako tafuta kitu safi cha kufanya.
Afadhali wewe una uwezo wa kuhisi ninavyoishi.Maisha yanataka maamuzi magumu muda mwingine mkuu.
 
Walikupima size ya dushe?

utakuwa tayari kutumia zile dawa zao au sindano za kusimamisha dushe muda mrefu na kukupa stamina?

Achana na huo ushetani mkuu, bora twende zetu kijijini kwa Babu tukalime tutatoka tu.

Ubaya wa kucheza hizo film ni kwamba itafika mahali utakuwa umeshapata pesa unazozihitaji sasa ila utatamani video zote za sex ulizocheza zifutwe au sura yako isionekane ILA HAITOWEZEKANA TENA, kwasababu watu watakuwa wameshahifadhi akilini na hata kwenye devices zao kama computer na mitandaoni forever.

Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako.
 
Hahaha natamani kujua interview yake ilikuwaje jamaaa.....aisee kachukue nafasi ya Mandingo jomba
 
Kaka usijaribu hata kidogo, acha kabisa, hizo Pesa hatakupa, huwezi kuwashitaki popote, coz hiyo kazi ni illegal katika nchi nyingi.
 
Mkuu kwanza pole na uamuzi mgumu. Najua wengi wanaongea kwasababu hawana njaa. Hawajui shida ikoje.
Naamini kabisa jinsi ulivyo muwazi sio kwamba ndio umeona kitu kina faa katika maisha yako bali hakuna jinsi.
Mimi nakushauri kwamba "a man got to do whatever its takes to survive".
Nakushauri iwe siri yako na Mungu wako. Usije ingia kwnye madwa ya kulevya na ukishapata mshiko wako tafuta kitu safi cha kufanya.
Ushauri mzuri, Sana, kijana chukua ushauri WA huyu
 
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..

Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..

Ni nani uyo mkuu,nipe jina lake la ulingoni nikamtafute.
 
Mkuu try to be serious usije ukajuta
Una uhakika na wewe hawatakutumia
Usije ukakuta ni wewe ndo unaenda bong'olewa. Kukosa yote hayo na ugumu wa maisha na kila kitu Ni mtihani au kipimo toka kwa Muumba wako, hicho kipato ulichokuwa unapata kwenye zege weka weka akiba uvumbue biashara nyengine nadani kwa miezi michace tu ungeweza hata kufungua genge la kuuza matunda na mbogamboga kwa kuanzia tu, TATIZO UNA HARAKA NA MAISHA , Unataka uwe na gari na nyumba za kifahari kwa haraka haraka hata 30 bado tayari umekata tamaa, KUMBUKA MUNGU ANAKUONA, KAMA UNAHISI SHETANI NDO MSAADA KWAKO HAYA KILA LA KHERI.
 
Back
Top Bottom