Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]Hii nchi kama baba yako alikuwa mzembe miaka hio ya 70 hakusoma akashika nafasi nzuri serikalini au akafanya mabiashara na kujiwekeza sana ujue inakula kwako mazima as a child!
The Struggle is fuckkin real,kitaa kinasulubu kiroho mbaya!
mimi simfungi ndiomana nakiri kweli mitihani inavuja lakini pia hata wasiokuwa na connection wanapata pia wanakitu wanakiita kanzi data so hata ukikosa nafasi ya msingi zengine zikija utapata tu ndiomana unakuta mda mwingi nafasi kwenye kada mbalimbali zinasoma 0 ila ukifungua pdf za waliopangiwa vituo vyakazi unakuta watu wa kada hizo hizo wamepangiwa vituo vya kaziUnamfunga mota sio 😅 unaambiwa ukimuona Ngedere mjini jua ana mwenyewe! Hamna kazi isio na mtu labda zitangazwe zile nafasi 100 au zaidi
Ukiona umepata jua watu wao muhimu walishapata nafasi! Kimsingi mnazopata zinakuwa nafasi za Nyongeza tumimi simfungi ndiomana nakiri kweli mitihani inavuja lakini pia hata wasiokuwa na connection wanapata pia wanakitu wanakiita kanzi data so hata ukikosa nafasi ya msingi zengine zikija utapata tu ndiomana unakuta mda mwingi nafasi kwenye kada mbalimbali zinasoma 0 ila ukifungua pdf za waliopangiwa vituo vyakazi unakuta watu wa kada hizo hizo wamepangiwa vituo vya kazi
kwenye ile nafasi me nilikua wakwanza kupata later wengine wakafuataUkiona umepata jua watu wao muhimu walishapata nafasi! Kimsingi mnazopata zinakuwa nafasi za Nyongeza tu
Ntumie nakala ya maombi unayotumia mkuukwenye ile nafasi me nilikua wakwanza kupata later wengine wakafuata
Utakuja kusema namm mtu wao wa muhimuUkiona umepata jua watu wao muhimu walishapata nafasi! Kimsingi mnazopata zinakuwa nafasi za Nyongeza tu
maombi ya mungu au maombi ya barua?Ntumie nakala ya maombi unayotumia mkuu
We maombi yamekuokoa nipe namba ya msikiti unaoswaliaUtakuja kusema namm mtu wao wa muhimu
hahaaaa inawezekana, mm mavitabu ya power of conscious and subconscious yalishaniharibu akili. ila demu wangu aliomba sana amekesha sana mama yangu amekesha sana alikua kila akiniona anatema maombi nipate kaziWe maombi yamekuokoa nipe namba ya msikiti unaoswalia
😄😄😄 Igizo Hilo limeletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa Ofisi ya UTUMISHI.Unamfunga mota sio 😅 unaambiwa ukimuona Ngedere mjini jua ana mwenyewe! Hamna kazi isio na mtu labda zitangazwe zile nafasi 100 au zaidi
Na ukimuona mbwa juu ya mti ujue amepandishwa na mtu 😄😄😄Unamfunga mota sio 😅 unaambiwa ukimuona Ngedere mjini jua ana mwenyewe! Hamna kazi isio na mtu labda zitangazwe zile nafasi 100 au zaidi
Yotemaombi ya mungu au maombi ya barua?
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅 wao wanahisi mambo yanakwenda kwenda tu kizembeNa ukimuona mbwa juu ya mti ujue amepandishwa na mtu 😄😄😄
😄😄 humu nimegundua mpk Kuna watu Wana vipaji vya kutunga script za movie za wakina majuto aisee.Yote
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅 wao wanahisi mambo yanakwenda kwenda tu kizembe
Kwamba ingekua busara jamaa Angekaa kimya sio?Hakika hii ndio Tz ya Viwanda.Punguza uoga mkuu kama Ulijiandaa vyema basi trust me utatoboa kukaa kimya ingekuwa Busara sana mkuu hao watu Wanaweza kukupita slightly kwenye written ila wewe Oral una kuja kufunika kabisa nimefanya interview mbili tu za utumishi Na zote Nilifaulu vizuri tu Na kupata kazi mwisho niliamua ni wapi niende, Ivo relax
Heheheheh vipaj vingi😄😄 humu nimegundua mpk Kuna watu Wana vipaji vya kutunga script za movie za wakina majuto aisee.
una negativity sana mzee, mtu wa utumishi aje kucomment hapa itabadili nini? zinavuja necta sembuse kipepa cha utumishi kinachochapwa palepale na watu walewale?Na ukimuona mbwa juu ya mti ujue amepandishwa na mtu 😄😄😄
Jomba jua una discuss na muuza gongo wa kilabuni kwa hio upeo wangu Ni mdogo Sana hayo yote uliyo yaandika sijakuelewa hata 1 officer.una negativity sana mzee, mtu wa utumishi aje kucomment hapa itabadili nini? zinavuja necta sembuse kipepa cha utumishi kinachochapwa palepale na watu walewale?
hapa tunajengana ni bora utumishi kuliko mamlaka ya kuajiri apewe mkurugenzi wa manispaa mbona utatoka mtwara to kigoma na nafasi anapewa mtoto wa dada. angalau utumishi ukikosa nafasi ya msingi kwa waliofika oral interview utawekwa kwenye database utakula tu mchonngo shida inaanza wengi hawatoboi written interview na kinachowafanya wafeli sio kuvuja kwa pepa ni kutokujiandaa mfano kazi kibao zinakuwaga re advertised je hwana ndugu wa kuwapachika
? kazi nyingi zinarudiwagwa kutangazwa zaidi ya mara moja.
swali la msingi kuvuja kwa pepa ( nafahamu ni kosa) je kuna athiri vipi ww kufeli interview?
na tunapambana kuuweka mfumo madarakani manake ukikolapse tumeisha so mbowe anajisumbua tu nani anakubali ku messup aludi mtaani while ana service mkopo benk wa nyumba na gari nzuri typical middle class lifeYani kama wapo peponi na ni untouchable hao! They do whatever they like huguswi yani as long as una kadi ya chama na ni mwanachama hai!