wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Naona raia mmeanza kuwashtukia 😄😄😄.Wale jamaa hapana, wanachosha watu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona raia mmeanza kuwashtukia 😄😄😄.Wale jamaa hapana, wanachosha watu tu
Ni kweli kabisa kaka,hata mimi pia sasaivi hata itokee nafasi sehemu kama sina mtu bora nitulie zangu tu kwa mhindiHahahahah mie niliwatakia kila la heri katika safari yao! 😅😅😅 siwezi kujipandisha basi na nikaingia hasara za kipuuzi kwenda kuwania nafasi za watu wa 5 katika watu 9,000!
Si apply kazi wala kufanya interview ambayo sina connection! I must be certain kuwa hio nafasi ni yangu na ntaipewa sababu nina mtu yuko front 😅 hapo ndio nta apply tena kwa maelekezo yake.
ikitokea nafasi ww nenda, hiyo uliyoikosa haikua yakwakoNami pia ni muhanga wa iyo tume ya ajira,mwezi wa tano nilikuwa hapo dodoma mwajiri alikuwa ni Tanesco,nilichokutana nacho sintakuja tena kuaribu hela yangu kwenda saili zao,yaani nimefika ndani kuna kuna watu walikuwa wameingia na majibu kabisa kwani majibu unajibia kwenye karatasi za rimu ambazo hazina chata yoyote,mie nabaki kufikiria jinsi ya kujibu kuna mtu anatoa karatasi lake anabandika juu ya meza kisha anatulia anaanza kuwachora tu nyie mnaosumbua ubongo,nikavulimia kutoka nje nakutana na jamaa nilisoma nae chuo anacheka anaanza kuniambia paper nawe ulipata nabaki kushangaa tu.
kiukweli kabisa utumishi wanazingua sana tena sana,Mungu atusaidie tu kutuweka hai na kututendea haki yeye sie tutokao familia za kimasikini
Ni kweli kabisa kaka,hata mimi pia sasaivi hata itokee nafasi sehemu kama sina mtu bora nitulie zangu tu kwa mhindi
Hao nao walikuwa vichwa panzimimi interview yangu ya 1 nilifika hapo sina connection yyte, nikiwa maeneo nimekula kasuti kangu uchwara likaja kundi la watu. lile kundi likawa linasema like "swali fulani na fulani tayari bado fulani, hints za maswali matatu yote yaliganda kichwani nikawageukia nikawakazia macho wakaogopa wakasepa. mzee nilienda kukesha na hints 3 kesho kwenye pepa maswali yote niliyakuta nikatia above 80 huko. maajabu kwenye oral zile sura sikuziona hata moja, nikamkumbuka mwana fa aliwahi kusema "unaweza kulala na bi harusi na usiwe bwana harusi"
Hakuna kitu kama icho,bila kuwa na mtu pale utumishi mtu unajisumbua tu bureikitokea nafasi ww nenda, hiyo uliyoikosa haikua yakwako
😄😄😄😄😄 Sijui UTUMISHI watafanyaje kurudisha imani kwa raia,maana hii Ni aibu Sana kwao siku zote yalikua yanasikika tu Sasa Leo yameonekana hadharani.Hakuna kitu kama icho,bila kuwa na mtu pale utumishi mtu unajisumbua tu bure
😄😄😄 Mjomba anadhani yeye ndie amesota mtaani kuliko watu wote Tz mpk hasikii tishio la mtu yoyote.😅😅😅😅😅😅😅 jamaa anajifanya kamanda kuliko hata Waziri! We imagine waziri mwenyewe kasanda unafikiri kuna force kubwa kiasi gani behind that maana ujumbe umeshaenea hapo!
Ni utekelezaji ila Waziri na genge lake wameichunia wanampiga kalenda tu za kwenda na kurudi!
Kitakachofuata atalimwa barua tu moja akiendelea kung’aa ng’aa sharubu ofisini kwa watu atasema na keko 😅! Umafia tu ndio last option dogo atapotea bora achune tu.
Aende wapi?ikitokea nafasi ww nenda, hiyo uliyoikosa haikua yakwako
Anajiona yeye ndio ka suffer sana na mtaa😄😄😄 Mjomba anadhani yeye ndie amesota mtaani kuliko watu wote Tz mpk hasikii tishio la mtu yoyote.
Sikumsikia akiendelea kupambania kombe sijui aliishia wapi na hio mambo huyu jamaa.
Siyo fair kabisa aisee🤔 yaani usumbuke interviews zao zote then kirahisi tu tonge mdomoni linanyang'anywa aaiBarua nayo waliipunch! Mchezo wote wanaujua hao wanaoshtakiwa so kesi ya nyani kwa ngedere hio
ikitokea nafasi ww nenda, hiyo uliyoikosa haikua yakwakoNami pia ni muhanga wa iyo tume ya ajira,mwezi wa tano nilikuwa hapo dodoma mwajiri alikuwa ni Tanesco,nilichokutana nacho sintakuja tena kuaribu hela yangu kwenda saili zao,yaani nimefika ndani kuna kuna watu walikuwa wameingia na majibu kabisa kwani majibu unajibia kwenye karatasi za rimu ambazo hazina chata yoyote,mie nabaki kufikiria jinsi ya kujibu kuna mtu anatoa karatasi lake anabandika juu ya meza kisha anatulia anaanza kuwachora tu nyie mnaosumbua ubongo,nikavulimia kutoka nje nakutana na jamaa nilisoma nae chuo anacheka anaanza kuniambia paper nawe ulipata nabaki kushangaa tu.
kiukweli kabisa utumishi wanazingua sana tena sana,Mungu atusaidie tu kutuweka hai na kututendea haki yeye sie tutokao familia za kimasikini
Ni kweli kabisa kaka,hata mimi pia sasaivi hata itokee nafasi sehemu kama sina mtu bora nitulie zangu tu kwa mhindi
Nilikua na notion kama yako kabla, na nilitengeneza akaunti kabla sijamaliza chuo nikawa naamini kwenye kushikwa mikono sambaza sana cv kwa wanasiasa, lia lia sana kwa watu wenye mamlaka. nikajiajiri nikala chuma cha pua nikaona sio kesi nikarudisha majeshi nyumbani baada ya mda ikatangazwa nafasi moja demu wangu akanambia omba nikagoma alichofanya akaniomba details za account yangu akaandika barua kwa niaba akaiomba ile kazi. nikaitwa interview watu 600+ nafasi moja. hakuna mtu hata mmoja aliyenishauri niende ila akatokea mwanangu mmoja akanambia " nakujua vzri thats ur post, go and get it" mpaka natoka homr dada angu alikua ananiambia dogo kwann unapoteza pesa hivyo nilimjibu tu " huu ni wakati wangu"Hakuna kitu kama icho,bila kuwa na mtu pale utumishi mtu unajisumbua tu bure
Hahahahahahah
Utafanyaje sasa? Watu washakupiga kanzu😅Siyo fair kabisa aisee🤔 yaani usumbuke interviews zao zote then kirahisi tu tonge mdomoni linanyang'anywa aai
Aende utumishi kabla ya kuenda asome sana mambo ya field yake hakuna njia ya kufaulu zile pepa kama hajasoma + aombe kwa imani yake atimize wajibu wake atafaulu tuAende wapi?
Acha kudanganya watu. Utumishi ilikuwa zamani, saiv hiyo hela mkuu bora utest kubet kuliko kwenda kuitupa hovyo.
Mfano mimi saiv naham na nyama ya kuku, bora nikanunue kuku nichemshe kuliko kwenda utumishi
Dah ila hamna jinsi unapeleka vielelezo vyote vya kuwa selected na ukawasue maana kama emails na barua vipo nadhani vinatosha😒Utafanyaje sasa? Watu washakupiga kanzu😅
Eeh hio 200k ungebetia ungekula hata faida kidogoNami pia ni muhanga wa iyo tume ya ajira,mwezi wa tano nilikuwa hapo dodoma mwajiri alikuwa ni Tanesco,nilichokutana nacho sintakuja tena kuaribu hela yangu kwenda saili zao,yaani nimefika ndani kuna kuna watu walikuwa wameingia na majibu kabisa kwani majibu unajibia kwenye karatasi za rimu ambazo hazina chata yoyote,mie nabaki kufikiria jinsi ya kujibu kuna mtu anatoa karatasi lake anabandika juu ya meza kisha anatulia anaanza kuwachora tu nyie mnaosumbua ubongo,nikavulimia kutoka nje nakutana na jamaa nilisoma nae chuo anacheka anaanza kuniambia paper nawe ulipata nabaki kushangaa tu.
kiukweli kabisa utumishi wanazingua sana tena sana,Mungu atusaidie tu kutuweka hai na kututendea haki yeye sie tutokao familia za kimasikini
Ni kweli kabisa kaka,hata mimi pia sasaivi hata itokee nafasi sehemu kama sina mtu bora nitulie zangu tu kwa mhindi
Ubaya ni kuwa anaetakiwa kuku Sue nae kapewa CC: kwamba akutie spana tu au apotezee shauriDah ila hamna jinsi unapeleka vielelezo vyote vya kuwa selected na ukawasue maana kama emails na barua vipo nadhani vinatosha😒
Hahahahahah ulienda kuchimba mzee baba😅😅😅mimi interview yangu ya 1 nilifika hapo sina connection yyte, nikiwa maeneo nimekula kasuti kangu uchwara likaja kundi la watu. lile kundi likawa linasema like "swali fulani na fulani tayari bado fulani, hints za maswali matatu yote yaliganda kichwani nikawageukia nikawakazia macho wakaogopa wakasepa. mzee nilienda kukesha na hints 3 kesho kwenye pepa maswali yote niliyakuta nikatia above 80 huko. maajabu kwenye oral zile sura sikuziona hata moja, nikamkumbuka mwana fa aliwahi kusema "unaweza kulala na bi harusi na usiwe bwana harusi"
Unamfunga mota sio 😅 unaambiwa ukimuona Ngedere mjini jua ana mwenyewe! Hamna kazi isio na mtu labda zitangazwe zile nafasi 100 au zaidiikitokea nafasi ww nenda, hiyo uliyoikosa haikua yakwako