Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha siku iki collapse CCM yatatokea ya spana za hayati Jiwe 🤣🤣🤣 kwa kila raia wa CCMna tunapambana kuuweka mfumo madarakani manake ukikolapse tumeisha so mbowe anajisumbua tu nani anakubali ku messup aludi mtaani while ana service mkopo benk wa nyumba na gari nzuri typical middle class life
Yani unataka akapambane na watu wenye nondo? Kama wameweza kupata hizo paper before amini kwamba wanaconnection kubwa pale utumishi. Mtaitwa mpaka oral but hutapata kazi hata ungepata above 90.Aende utumishi kabla ya kuenda asome sana mambo ya field yake hakuna njia ya kufaulu zile pepa kama hajasoma + aombe kwa imani yake atimize wajibu wake atafaulu tu
nakiri pepa zinavuja lakini hiyo sio sababu ya mtu kufeli interview kwasababu UTUMISHI hawana ukomo wa kuchukua idadi ya watu ikitokea watu 100 mmepata above 49% wote mtaingia oral haachwi mtu. but umewahi kujiuliza why wengi wanafeli written interview?
Au nielekeze pepa ikivuja inasababisha vipi wewe kufeli?
Unaongea yote haya huku ukitegemea buku 7 ya lumumba?Jamaa kaongea kwa uchungu sana
Tatizo vijana mnasoma ili muajiriwe
Mbona tangazo Mimi nimetumiwa niende tarehe hiiKutoka kwa mdau,
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja
Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nmetumia zaidi ya 200,000 kutoka kigoma na kulala lodge.
Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar
View attachment 1885554
Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?
Tena tumeelekezwa tufate ratiba ilivyo kulingana na majina yalivyopangwaMbona tangazo Mimi nimetumiwa niende tarehe hii
Usiende kaka.Yani unataka akapambane na watu wenye nondo? Kama wameweza kupata hizo paper before amini kwamba wanaconnection kubwa pale utumishi. Mtaitwa mpaka oral but hutapata kazi hata ungepata above 90.
Ndo maana post zinakuwa re-advertised maana wale waliolusudiwa kupewa michongo wanafeli.
Pia siyo kila mtu anaishi Dodoma, watu wanatokea mikoani, hivyo wanatumia pesa kwaajili ya nauli, malazi na vyakula kwenda kupambana na watoto wa vigogo, acha mchezo man.
Mimi siwez huo upuuzi maana sina hela za kupoteza.
Basi bro we nenda tu kwny hio oral yawezekana ikawa watu wanawaonea 'wivu' tu.Tena tumeelekezwa tufate ratiba ilivyo kulingana na majina yalivyopangwa
Sasa imekuaje usaili (oral) umetangazwa kuahirishwa na wahusika?Ninacho juwa mm pia nilishiriki ktk interview hyo ila post nyingine ya customs ila nilichokiona Ni kuwa unaweza kugaiwa karatas mbili ya maswali na huku unatakiwa uwe nayo Moja tu sas ukitumia ujanja unaweza kutoka na mtiani nje na unakujalisema Kama ilifuja wakt Ni wew au mtu kafanikiwa kutoa paper ya maswali nnje so inaweza kuwa au ..wale wasimamizi wakaamua pia kufujisha kwamaksudically lbda kukomoana ktk idara ..so cjui ila naona Kuna uwezekano mkubwa kuwa paper ilitolewa nnje na watu ambao wameshindwa kujibu chochote katka chumba Cha mitiani
sawa mfanyakazi wa utumishi, tumekuelewa ila bado unahitajika kunyoosha maelezo na kuisaidia mahakama kwa upelelezi zaidi.Ninacho juwa mm pia nilishiriki ktk interview hyo ila post nyingine ya customs ila nilichokiona Ni kuwa unaweza kugaiwa karatas mbili ya maswali na huku unatakiwa uwe nayo Moja tu sas ukitumia ujanja unaweza kutoka na mtiani nje na unakujalisema Kama ilifuja wakt Ni wew au mtu kafanikiwa kutoa paper ya maswali nnje so inaweza kuwa au ..wale wasimamizi wakaamua pia kufujisha kwamaksudically lbda kukomoana ktk idara ..so cjui ila naona Kuna uwezekano mkubwa kuwa paper ilitolewa nnje na watu ambao wameshindwa kujibu chochote katka chumba Cha mitiani
Ukichunguza zile pepa zilikuwa chafu mno either mashine ya copy ilvuja wino, ama ilipotoka kwa print mtu kaiba kaenda toa copy mahali karudi na chafu badala ya orijino printout hvyo kupelekea kopy chafu exam room, na mtoa copy nae kqjitolea kawapa wake mchezo kwishaHiyo mtu katoka nayo kwa pepa kiwizi wizi sanA,na hizo ni pavings za udom pale😕,toa hiyo post utasababisha wapandishe cutt off point bure,na unakuta umefanya vizuri,mimi nilikuwa kwenye hiyo costa hakuna kitu kama hiko ilitokea ,umesikia kijana wa kigoma😃
Amewaza km bibi yangu kule shambani yaaani uelewa kiduchuHivi kweli watanzania huwa tunatafakari kweli? Wewe unaona kabisa mtu anayeupata mtihani kabla ya kufanya yuko level moja na anayeingia kwenye chumba cha mtihani bila kuuona? Unaona kabisa ushauri uliotoa ni sahihi? Badala ya kudadisi kama shutuma zina ukweli na kama zina ukweli hatua gani zichukuliwe wewe unasema hakuna shida?
Dogo alisema paper ilimsubiri Lily toka sabasaba tena akaambiwa apande bodaboda kabisa.Paper anasema ilianza saa 4:05 yeye alikuwa CHSS lecture theatre 1. Nilifikuri muongo loooh utumishi balaa. Sijui mtajengaje imani kwa madogo jamani.Ukiamka unawaza TRA, ukila unawaza TRA, Ukinya unawaza TRA, ukilala unawaza TRA nafasi zenyewe 34 application more than 14000 no way out Tz hautoboi hata uwe genius vp umemorize act zote na vitabu vyote vya tax kama huna mtu sahau, hata mm binafsi Nina hasira nime umiza kichwa changu Kuna watu wanakula kiulaini [emoji34][emoji35][emoji2959] na kusubiriwa wanasubiriwa mpaka wafike ndo pepa lianze
Lakini Bora kucheka tu, ukimaind sana uta burst bure [emoji38][emoji23][emoji1787]