wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hahahahah hio hela bora umpe shemeji akanunue misosi ajaze frijini na stoo tu au ununulie umeme tu ukae kwenye luku kuliko kuitupa laki 3 ndani ya siku chache!
Acha tu kaka tunaona jinsi mifumo ambavyo iko rafiki na watu wa kwenye system tu! Yani ukiwa nje ya circle ya CCM Moguls au High profile Civil Servants ujue umekwisha! Utateseka mpaka ufe ukisaka ajira eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah hio hela bora ningeweka hata heshima ndani kwangu mamamae.
Nchi hii wana CCM wanakula maisha kinyama yaani ile kinyamaaa,nimeshangazwa na MATAGA mmoja huku Jf aitwae @YEHODOVA leo akilalamika eti huduma ya Songesha sijui hakopesheki/anabaniwa mkopo nikacheka saaana nikajua huyu ni mpiga debe tu ila angekua kwny circle ya wenyewe asingekua anauliza mambo ya songesha.