Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Ndio maana makazini umahiri hakuna, huduma ni mbovu kwasababu ya kubebana


Nchi ya kis*ng* sana hii tena kuna miwatu hata aibu haioni inafurahia upuuzi huo
Kuna siku nilisema watu wapo makazini ili kulipwa mishahara wakalipie bills zao! Maswala ya ufanisi wa kazi sio kipaumbele, cha muhimu kati ya tarehe 25-30 akinge hela!
 
Nilipoandika huu uzi, kuna wapuuuzi walijibu kuwa “kwa hiyo tukusaidiaje?”
Majibu haya hapa
Adjustments.jpg
 
😄😄😄😄 Vijana wamechoma nauli+lodge kumbe wajuba mzigo wanao ndani tayari wamekuja kuwachora tu wanyonge.

Kuna jamaa alikua anawasifia UTUMISHI anakwambia wale mpk Wana Quality Controll office hapo ofisini kwao kwa ajili ya hio mitihani kumbe Ni ujinga mtupu.
Hahahahah mie niliwatakia kila la heri katika safari yao! 😅😅😅 siwezi kujipandisha basi na nikaingia hasara za kipuuzi kwenda kuwania nafasi za watu wa 5 katika watu 9,000!

Si apply kazi wala kufanya interview ambayo sina connection! I must be certain kuwa hio nafasi ni yangu na ntaipewa sababu nina mtu yuko front 😅 hapo ndio nta apply tena kwa maelekezo yake.
 
Kwani ni Mara ya kwanza mitihani kuvuja?
Wakati wa rizki yako bado haujafika, acha walio pata pepa wakale maisha.
Maisha sio mitihani ya utumishi tuuu
#Kun faaa Yaquun
 
Paper imekushinda unaanza kulalamika. Nimetumia nauli 200,000. Kama umefanya vizuri utaitwa kwenye hatua nyingine
 
Paper imekushinda unaanza kulalamika. Nimetumia nauli 200,000. Kama umefanya vizuri utaitwa kwenye hatua nyingine

Kwa hiyo unatakaje? Au na ww ni mmoja ya walitiwa wakapewa pepa?
 
hata ungewekwa mfumo gani kubebwa kungekuwepo, unafikiri Kunenge angeweza kumpiga chini mtoto wa dada ake andapo angeomba kazi hapo?
Ukiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantiki
 
Kwa hiyo unatakaje? Au na ww ni mmoja ya walitiwa wakapewa pepa?
Kitu cha muhimu kusubiria matokeo inawezekana wakasema waliopata 50 kuja juu wanaitwa kwenye hatua nyingine ya interview.
Kufaulu kwenye written siyo kwamba umepata kazi unaweza kupewa paper kwenye Oral interview ukaachwa
Umefanya mitihan mingapi ya Taifa, wilaya na Mkoa ambayo imevuja bado ukafaulu vizuri.

Mi mambo ya interview kwa Sasa hivi sipo huko
 
Poleni sana vijana. Inauma lakini sitaki kuamini kama ilivuja. Vinginevyo, uthibitishe pasipo na shaka.

Sawa, majibu unapaswa kuyarudisha na karatasi ya maswali. Lakini wapo wenye uwezo wa kurudisha majibu pekee. Au mtu alipewa karatasi mbili za maswali, moja akapeana nyingine akabaki nayo. Akaja kupiga picha na kurusha online.

Lakini kama ilipangwa iwe lazima iwe tu. Hata kama paper lisingevuja, kama fulani alishapangiwa kupewa kazi, hata kama atafeli huo mtihani atapewa tu kibarua.

Maisha haya ya sasa ni magumu sana kwa waajiriwa. Kipindi hicho cha JK, sisi tulikuwa na uangalau.
Dah kazi ni connection tu! Kuna watu wanamaliza vyuo na wanaunganishwa kazini wala hawateseki mitaani😅 katika kipindi hiki hiki ambacho watu wanapanda mabasi na kwenda mamia ya kilometre kufanya usaili ambao ni geresha maana tayari kuna watu washachaguliwa kuziba nafasi hizo!
 
Hahahahah mie niliwatakia kila la heri katika safari yao! [emoji28][emoji28][emoji28] siwezi kujipandisha basi na nikaingia hasara za kipuuzi kwenda kuwania nafasi za watu wa 5 katika watu 9,000!

Si apply kazi wala kufanya interview ambayo sina connection! I must be certain kuwa hio nafasi ni yangu na ntaipewa sababu nina mtu yuko front [emoji28] hapo ndio nta apply tena kwa maelekezo yake.

Hahahah vijana hawawezi kukuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyoenda watakuelewa tu mjomba.
 
Hiyo mtu katoka nayo kwa pepa kiwizi wizi sanA,na hizo ni pavings za udom pale😕,toa hiyo post utasababisha wapandishe cutt off point bure,na unakuta umefanya vizuri,mimi nilikuwa kwenye hiyo costa hakuna kitu kama hiko ilitokea ,umesikia kijana wa kigoma😃
 
Ukiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantiki

Kwa hio kila graduate akafanye internship kwny taasisi za kiserikali ili wasiwe wanapitishwa kwny tanuru la pepa za utumishi?
 
Kutoka kwa mdau,

Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.

Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.

Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja


Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nmetumia zaidi ya 200,000 kutoka kigoma na kulala lodge.

Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar

View attachment 1885554

Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?
Paper ya kuvuja ikawe hii bhana paper la utopolo kabisa hili hata mayele ndombolo anapaisha
 
Back
Top Bottom