Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa kufahamu Hilo mkuu?Mirembe kitambo huyo.Una matatizo ya akili.
Mbwembe nyiiingi,yule jamaa aliyepata kazi huko kupitia huko utumishi akaenda ku report kwny kituo Chake cha kazi na akakuta nafasi imeshajazwa na mtu aliyefeli huko kwny mitihani ya utumishi hao Takukuru si wamepelekewa hio case wakaishia kuipiga danadana tu, Waziri wa utumishi nae akaikimbia.Tax officer anatakiwa kuwa Jasiri sio muoga wewe sio wa kigoma
Kigoma huwa si waoga
Taja namba za huyo aliyemrushia I'll genge lake likamatwe vinginevyo wewe mumbeya tu hata ungeajiriwa kazi yako ingekuwa umbeya tu na upiga majungu ofisini
Peleka Hilo swala Takukuru haraka na ushahidi hata wa namba ya huyo mtu wako aliyerushiwa mtihani watsap
Sawa mfanyakazi wa kilabuniAlisikika mfanyakazi wa utumishi akiongea kwa sauti huku akiyumba kwa ulevi.
Asante Sana,ukipata huduma dai risiti 😄😄😄Sawa mfanyakazi wa kilabuni
punguza makasirikio mkuu, itakusaidia sana.Sawa kabisa mfanyakazi wa utumishi,endelea kutetea kitumbua chako.
ungesoma na ww ungevujishiwa pepa bahati mbaya yu maamumaAsante Sana,ukipata huduma dai risiti 😄😄😄
Hujakosea mke wangu,ndio maana ninaenda kuuza gongo kilabuni kila siku ili wewe upendeze na niweze hata kukununulia pedi iweze kukusitiri.ungesoma na ww ungevujishiwa pepa bahati mbaya yu maamuma
Shukrani.Hujakosea mke wangu,ndio maana ninaenda kuuza gongo kilabuni kila siku ili wewe upendeze na niweze hata kukununulia pedi iweze kukusitiri.
Karibu.Shukrani.
Umejitahidi ila usitake aminisha wengine kuwa hayo ndo majibu pekee kwa maswali yote, utapata kiasi,1.A -corruption
-conspirancy
-trespassing/leaving without following procedures
-Smuggling
-aiding/abetting
B-description of goods either merchandise, livestock, wares, articles or currency
-Quantity
-Quality
-Package
4. A- The VAT Act 1997
-The EFD Act 2010
-The EACCM Act 2004
-The EACCM Act Amendment 2011
-The Excise management and Tarrif Act
B-transaction value of imported goods
-transaction value of identical goods
-transaction value of similar goods
-deductive method
-computed method
-fall back method
5.- Quantitative research
-Qualitative research
-Descriptive research
-Comperative research
-Experimental research
View attachment 1885693
MkuuWewe dogo inaelekea umefanya huu usaili unaozungumzwa hapa na ulikua na pepa before( uliiba) , hongera mkuu, utapata kazi TRA kapige pesa za wanyonge
Mkuudu
duh!! aiseee!!! mwenzako kamwaga ugali wee ukaona umwage na mboga kabisa yani.
Nashukulu kwa feedback yakoUmejitahidi ila usitake aminisha wengine kuwa hayo ndo majibu pekee kwa maswali yote, utapata kiasi,
Pia kwa waliodaka pepa ni rahisi wajua nahisi watacopy na kupaste na wanaweza jibu maswali sawa na kuepuka maswali sawa, Ni vyema utumishi wakabalance mzani
HahahaUmegonga nyundo mkuu
hii ishu una weza ichukulia simple sana interview ya mwisho mm kufanya na hawa utumishi ilikua 2019 na mpaka leo nime itwa mara3 sija hudhuria tena interview zao kwanini?Poleni sana vijana. Inauma lakini sitaki kuamini kama ilivuja. Vinginevyo, uthibitishe pasipo na shaka.
Sawa, majibu unapaswa kuyarudisha na karatasi ya maswali. Lakini wapo wenye uwezo wa kurudisha majibu pekee. Au mtu alipewa karatasi mbili za maswali, moja akapeana nyingine akabaki nayo. Akaja kupiga picha na kurusha online.
Lakini kama ilipangwa iwe lazima iwe tu. Hata kama paper lisingevuja, kama fulani alishapangiwa kupewa kazi, hata kama atafeli huo mtihani atapewa tu kibarua.
Maisha haya ya sasa ni magumu sana kwa waajiriwa. Kipindi hicho cha JK, sisi tulikuwa na uangalau.
Usizungumzie Magufuli maana hii style imeasisiwa na CCM! Ukiwa na affiliation na wakubwa ndani ya CCM na serikalini ujue maisha yako hapa nchini lazma yawe mepesi tu hasa kutoboa life ni swala la simu kadhaa tu unakula kitengo!Duh.
Jana nilimuonya mdogo wangu asiende maana utumishi hawaaminiki tena now days.
Yale maisha kabla ya Magufuli yanarudi kwa kasi.
Kuna jamaa niliona analalamika humu ameajiriwa na utumishi lakini alipofika kwenye kituo cha kazi wakamkataa.
Hii nchi watakaokula maisha ni watoto wa viongozi tu.