Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
pia kuna vijana wamesomeshwa vyuo na wazazi wao walikosa interniship na wao wanataka nafasi hizohizoUkiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantiki