Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

na tunapambana kuuweka mfumo madarakani manake ukikolapse tumeisha so mbowe anajisumbua tu nani anakubali ku messup aludi mtaani while ana service mkopo benk wa nyumba na gari nzuri typical middle class life
Hahahahahaha siku iki collapse CCM yatatokea ya spana za hayati Jiwe 🤣🤣🤣 kwa kila raia wa CCM
 
Yani unataka akapambane na watu wenye nondo? Kama wameweza kupata hizo paper before amini kwamba wanaconnection kubwa pale utumishi. Mtaitwa mpaka oral but hutapata kazi hata ungepata above 90.
Ndo maana post zinakuwa re-advertised maana wale waliolusudiwa kupewa michongo wanafeli.

Pia siyo kila mtu anaishi Dodoma, watu wanatokea mikoani, hivyo wanatumia pesa kwaajili ya nauli, malazi na vyakula kwenda kupambana na watoto wa vigogo, acha mchezo man.

Mimi siwez huo upuuzi maana sina hela za kupoteza.
 
Mbona tangazo Mimi nimetumiwa niende tarehe hii
 

Attachments

Ukiamka unawaza TRA, ukila unawaza TRA, Ukinya unawaza TRA, ukilala unawaza TRA nafasi zenyewe 34 application more than 14000 no way out Tz hautoboi hata uwe genius vp umemorize act zote na vitabu vyote vya tax kama huna mtu sahau, hata mm binafsi Nina hasira nime umiza kichwa changu Kuna watu wanakula kiulaini [emoji34][emoji35][emoji2959] na kusubiriwa wanasubiriwa mpaka wafike ndo pepa lianze
Lakini Bora kucheka tu, ukimaind sana uta burst bure [emoji38][emoji23][emoji1787]
 
Ninacho juwa mm pia nilishiriki ktk interview hyo ila post nyingine ya customs ila nilichokiona Ni kuwa unaweza kugaiwa karatas mbili ya maswali na huku unatakiwa uwe nayo Moja tu sas ukitumia ujanja unaweza kutoka na mtiani nje na unakujalisema Kama ilifuja wakt Ni wew au mtu kafanikiwa kutoa paper ya maswali nnje so inaweza kuwa au ..wale wasimamizi wakaamua pia kufujisha kwamaksudically lbda kukomoana ktk idara ..so cjui ila naona Kuna uwezekano mkubwa kuwa paper ilitolewa nnje na watu ambao wameshindwa kujibu chochote katka chumba Cha mitiani
 
Usiende kaka.
kila mtu alizaliwa siku yake ataishi kwenye njia zake

lakini swali langu la kuvuja kwa mtihani kunaplkea vp ww kufeli. kwenye interview yangu alietuongoza kwenye written alifeli vbaya kwenye oral tena vibaya haswa.
kwanza kwenye oral lazima taasisi husika inayotaka mtumishi iwepo kwenye panel, ww bebwa kwenye written ila kama hunauwezo utanasa tu
 
Sasa imekuaje usaili (oral) umetangazwa kuahirishwa na wahusika?
 
s sawa mfanyakazi wa utumishi, tumekuelewa ila bado unahitajika kunyoosha maelezo na kuisaidia mahakama kwa upelelezi zaidi.
 
Kuvuja mtihani pia sio kutaondoa kuaminiwa kwa watoza kodi watakaajiriwa kuwa hawatakuwa na upendeleo kwa watu flani na jamii zao kutokuwa walipa Kodi na wengine kuwa walipa kodi, je tunatengeneza matabaka hayo hapa nchi mwetu uvujaji huu unaviashiria vingi, Kawekwa atumikie flan i na flani akandamize flani na flani
 
ahahahahaha siku iki collapse CCM yatatokea ya spana za hayati Jiwe 🤣🤣🤣 kwa kila raia wa CCM
lazima watu wauwane kama mapinduzi ya zanzibar kuutoa mfumo sio kitu kidogo
 
Ukichunguza zile pepa zilikuwa chafu mno either mashine ya copy ilvuja wino, ama ilipotoka kwa print mtu kaiba kaenda toa copy mahali karudi na chafu badala ya orijino printout hvyo kupelekea kopy chafu exam room, na mtoa copy nae kqjitolea kawapa wake mchezo kwisha
 
Hizo ajira kuna watu wanakuwa wameshawekewa reservations, nyie wengine mnaenda kukamilisha protocol tu
 
Amewaza km bibi yangu kule shambani yaaani uelewa kiduchu
 
Utumishi nako hakufai basi mambo ni hatari kwa maana watu waliwaamini sana.
 
Dogo alisema paper ilimsubiri Lily toka sabasaba tena akaambiwa apande bodaboda kabisa.Paper anasema ilianza saa 4:05 yeye alikuwa CHSS lecture theatre 1. Nilifikuri muongo loooh utumishi balaa. Sijui mtajengaje imani kwa madogo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…